Yusuf Kashaju
Member
- Oct 20, 2019
- 56
- 89
Kwanza tunaomba kuifahamu nafasi,mchango wako katika kuchochea hali hiyo,kwani inaonekana unapenda hali hiyo iwekama yalivyomatamanio yako.Tanzania -Kenya relations will remains uneasy forever, please markmy words, na ndiyo hali halisi ilivyo na historia duniani ilivyo kwa dunia nzima kwa mataifa yanayshindana. Nenda America ya Kusini ni ushindani na uhasama kati ya Brazil na Argentina, nenda Asia ni ushindani na uhasama kati ya China na Japan na pia kati ya India na Pakistani. Nenda bara la Ulaya ni ushindani na uhasama kati ya Uingereza na Ujerumani, na kati ya Russia na USA.
Hivyo Tanzania ni vema tujiandae mapemaaa tukijisahau tunapigwa la kisigino, haya ndiyo maisha kwa mataifa yanayokabiliana na kushindani katika maendeleo, hiyo ni ligi haiwezi kuisha haha tufanyeje💝
Thanks kwa ukweli huu...Kenya na TZ haziwezi kuelewana hata siku mojaTanzania -Kenya relations will remains uneasy forever, please markmy words, na ndiyo hali halisi ilivyo na historia duniani ilivyo kwa dunia nzima kwa mataifa yanayshindana. Nenda America ya Kusini ni ushindani na uhasama kati ya Brazil na Argentina, nenda Asia ni ushindani na uhasama kati ya China na Japan na pia kati ya India na Pakistani. Nenda bara la Ulaya ni ushindani na uhasama kati ya Uingereza na Ujerumani, na kati ya Russia na USA.
Hivyo Tanzania ni vema tujiandae mapemaaa tukijisahau tunapigwa la kisigino, haya ndiyo maisha kwa mataifa yanayokabiliana na kushindani katika maendeleo, hiyo ni ligi haiwezi kuisha haha tufanyeje💝
Hivi kumbe Russia na USA ni majirani? Hilo nilikuwa sijajuaTanzania -Kenya relations will remains uneasy forever, please markmy words, na ndiyo hali halisi ilivyo na historia duniani ilivyo kwa dunia nzima kwa mataifa yanayshindana. Nenda America ya Kusini ni ushindani na uhasama kati ya Brazil na Argentina, nenda Asia ni ushindani na uhasama kati ya China na Japan na pia kati ya India na Pakistani. Nenda bara la Ulaya ni ushindani na uhasama kati ya Uingereza na Ujerumani, na kati ya Russia na USA.
Hivyo Tanzania ni vema tujiandae mapemaaa tukijisahau tunapigwa la kisigino, haya ndiyo maisha kwa mataifa yanayokabiliana na kushindani katika maendeleo, hiyo ni ligi haiwezi kuisha haha tufanyeje[emoji307]
Tanzania -Kenya relations will remains uneasy forever, please markmy words,
The reason that we all compete, we are not one anymore.It is an easy relation for mutual benefits, it is competitions without quarrel, the competitions which forster mutual benefits etc, contrary to that it is an insanity which could lead to unnecessary enmity.--- we are the one people, in one African, in one East african. let's compete one another for the good without quarrel, and let one onothet be a yard stick for development of another.
That is a good spirit of "envy" and not otherwise.
Mkuu ujui kuwa jimbo la Alaska ilikuwa ni sehemu ya Rusia na USA ililinunua kwa Dola 50,000 kutoka Rusia!Hivi kumbe Russia na USA ni majirani? Hilo nilikuwa sijajua
Issue hapa ni ukweli wa uchambuzi kuwa upande mmoja unategemea uzembe au kutojua kwa upande wa pili ili uweze kusonga mbele, sasa taifa gani liko tayari kuendelea kufanywa ngazi ya kupandia mwingine!Kwanza tunaomba kuifahamu nafasi,mchango wako katika kuchochea hali hiyo,kwani inaonekana unapenda hali hiyo iwekama yalivyomatamanio yako.
Kuna tena cha kujiandaa mkuu, mbona hii ni 'natural phenomenon' isiyoweza kuzuiwa na yeyote.Tanzania -Kenya relations will remains uneasy forever, please markmy words, na ndiyo hali halisi ilivyo na historia duniani ilivyo kwa dunia nzima kwa mataifa yanayshindana. Nenda America ya Kusini ni ushindani na uhasama kati ya Brazil na Argentina, nenda Asia ni ushindani na uhasama kati ya China na Japan na pia kati ya India na Pakistani. Nenda bara la Ulaya ni ushindani na uhasama kati ya Uingereza na Ujerumani, na kati ya Russia na USA.
Hivyo Tanzania ni vema tujiandae mapemaaa tukijisahau tunapigwa la kisigino, haya ndiyo maisha kwa mataifa yanayokabiliana na kushindani katika maendeleo, hiyo ni ligi haiwezi kuisha haha tufanyeje💝
You go and tell that to the birds, you still won't be believed!It is an easy relation for mutual benefits, it is competitions without quarrel, the competitions which forster mutual benefits etc, contrary to that it is an insanity which could lead to unnecessary enmity.--- we are the one people, in one African, in one East african. let's compete one another for the good without quarrel, and let one onothet be a yard stick for development of another.
That is a good spirit of "envy" and not otherwise.
Ndio Alaska wanapakana na RussiaHivi kumbe Russia na USA ni majirani? Hilo nilikuwa sijajua
Hili ndilo tatizo kubwa tulilo nalo baadhi ya Watanzania - kubeza beza tu masaa yote!! Mfano: Ni wap i mleta mada amesema kwamba US A na Russia ni majirani - alikuwa a nazungumzia rivally kati ya Ma t a i f a h a y o mawili.Hivi kumbe Russia na USA ni majirani? Hilo nilikuwa sijajua
Look, a commentator is obviously a die hard Kenyan.You go and tell that to the birds, you still won't be believed!
I believe you meant "It is an uneasy relationship..." Where did you see "mutual benefits", or are these in your dreams?
Dogo, alichokisema mtoa uzi is naturally happening due to the theory of nature of the survival of the fittest!Kwanza tunaomba kuifahamu nafasi,mchango wako katika kuchochea hali hiyo,kwani inaonekana unapenda hali hiyo iwekama yalivyomatamanio yako.