Kwa kutumia akili zetu tumeipa Dunia nini ?Mkuu swali lako lingependeza zaidi kama kwanza tungejiuliza,kwanini wakoloni walikuja Tanzania na kuifanya koloni lao? Waliona nini? Walifaidikaje?
Hawa investor kuanzia kwenye madini ya Almasi kule Mwadui mpaka madini ya Dhahabu na madini mengineyo,wao hawafaidiki kitu? Hizo product za huko nje sio kwamba baadhi ya raw materials zinatoka kwenye nchi nyingi za Africa? .
Nchi inaweza kuifaidisha Dunia direct na indirect.
Hii ni mada nyingine kabisa,tofauti na swali la mleta mada.Kwa kutumia akili zetu tumeipa Dunia nini ?
Ukisoma btn the line mtoa mada kalenga man made kwenye mifano Ila kwenye title unaweza kuwa na upana wa kutoa majibu Kama hivyo.Hii ni mada nyingine kabisa,tofauti na swali la mleta mada.
Tanzanite.Ukisoma btn the line mtoa mada kalenga man made kwenye mifano Ila kwenye title unaweza kuwa na upana wa kutoa majibu Kama hivyo.