Tanzania jameni...

futhufuthu

New Member
Jul 6, 2010
1
0
wivu ni wa nini ndugu zetu?

Tanzania project threatens Kenya’s Seventh Wonder!!!!!

The Tanzanian Government has approved the construction of a 300 mile highway that conservationist fear will interfere with the wildebeest migration spectacle in the world famous Masai Mara Game Reserve.
The road expected to link Arusha and Musoma on Lake Victoria cuts through the Serengeti wilderness bisecting the migration path.
The project is in bad faith because it is being started only a few months after it the migration has been declaired the seventh wonder.
Conservationists have expressed fear that although it is of less importance commercially, the road would sound a death nail to the Seventh Wonder of the World. But the Tanzanian Government has defended the project.
An online petition against the project, which begun early this month has already gathered more than 3,000 signatures from around the world.
It is reported that with the construction of the road, Masai Mara, which borders Serengeti to the North, could also be affected as 1.8 million wildebeest, 500,000 zebras, lions, hyenas, cheetahs and wild dogs that stalk them are constantly moving between the two areas.
Furthermore, the road bisects an area with the highest concentration of large mammals in the world, thus fencing will be required to avoid loss of lives and car accidents caused by animals. This will be tantamount to ending the migration as wildebeest, zebras, eland and elephants among other animals, which will no longer access Mara River, their only water source, during dry seasons.
A conservationist, Markus Borner, cited the Botswana case where its wildebeest and zebra migration was wiped out due to such fences.
Also in Canada, the Elk migration in Banff National Park was compromised by a dissecting road.
Schenck says the United Nations Educational, Scientific and Cultural Organisation recommends that no roads should lead through any national park or world heritage site.

kuna haja gani kuonea ndugu zetu wa-kenya kijicho?
 
Since it will affect kenyans, let it go ahead! Hata hivyo lengo siyo wao! But it's a good coincidence! Wanajiona sana wale watu!
 
Hii attitude nzima ya "it will affect Kenyans" iko miseducated.Hii project ita affect Tanzania kuliko Kenya, let's not get it twisted.

Na kuna valid arguments nyingi kwa nini conservationists waipinge kwa sababu ya athari zake kimazingira na kwenye utalii. Mkianza kusema mnaipinga kwa sababu itawa affect Kenyans kuna watu wasioelewa watadaka habari hivyo hivyo na kuona kwa kuwa ina wa affect Kenyans poa tu.

Huku hawajui wanaondoa paradiso ili kujenga parking lot.
 
Yaani tusijenge barabara zetu kwa sababu ya kuwa itawa affect nchi jirani!!
Nonsense!!
 
Yaani tusijenge barabara zetu kwa sababu ya kuwa itawa affect nchi jirani!!
Nonsense!!

Leave the baseless rants man, its because Kenyans care, because they know of the aftermaths of constructing that unnecessary highway. But for some of you Tanzanians who are just blinded by Envy and Callousness, it seems that you don't realize that you as well lose too. When will this kind of madness cease...
 
Wakenya wana care nani ...watz au wanyama? Na kwanini unasema unnecessary highway? Watz wanajenga barabara nzuri ya kuunganisha Mikoa iliyopo Tz-sasa tatizo ni nini! Na wewe ni kama nani unasema unnecessary highway? Sijaelewa point yako..na wala si wivu au majungu. Next tukitaka kupanua bandari ya Tanga tutaambiwa unnecessary kwa sababu tutainyima riziki ile ya Mombasa.
 
barabara inajengwa Tz, ardhi ya tz, wao kinawawasha nini? kwani serengeti iko nchini kenya? ni ajabu kwamba watu wanajali wanyama kuliko wanadamu kule musoma etc....tusisikilize propaganda za wakenya, watatupoteza bure...
 
The effects the highway will have on the ecosystem of the Serengeti could be disastrous, I am all for the development of Tanzania's poor transport system but this is a mistake and the consequences could be beyond repair, we should really think of an alternative route for this highway, the Serengeti is too precious to risk for such a reckless project, think about it people. . .
 
Baseless argument. Myopic people hata hawajaona ramani tayari wanakurupuka ohhh 7th wonder iko hatarini blah blah za kila siku. Anayetaka barabara isijengwe alipe gharama ya kuweka underground train kuunganisha usafiri wa uhakika kwenye miji/vijiji husika. Usipende tu … …. kila kitu kina gharama, kama Kenya wanaona kuna hasara walipie hiyo gharama.
 
Leave the baseless rants man, its because Kenyans care, because they know of the aftermaths of constructing that unnecessary highway. But for some of you Tanzanians who are just blinded by Envy and Callousness, it seems that you don't realize that you as well lose too. When will this kind of madness cease...
i am against the project cause of ecological consequences but i don't buy it ati kenya cares!? since when? go to Masai Mara to see the land grabing within the park! or go to Lamu and hear the new Port disastrous report on on marine environment or the the blockade on animal corridor within Nairobi National Park
 
Labda nieleweshwe vizuri katika hili, Dar to Mbeya ni lami na inakatisha Mikumi, mikumi kuna wanyama pale, hata ukiwa unasafiri kuna utalii wa bure pale, nini logic ya Serengeti kutopitisha barabara ya lami. kuna tofauti yoyote kati ya wanyama wa Serengeti na wale wa Mikumi? may be niko blind. kuna ubaya gani kuweka lami then put speed limit (50kph) kwa kuweka matuta kama mikumi? at the same time tutakuwa tumetengeneza network ya barabara zetu Nchini. Labda kama kuna datas zinazoonyesha kwamba pale mikumi kuna wanyama wengi wamekufa kutokana na ajali au wamehama kwa sababu ya lami, may be nitakubaliana na hoja
 
Kuna environmentalist mmoja tu mkereketwa Kenya, Prof. Wangari M. Maathai.

Tangu lini wa-Kenya mkawa wasemaji wa kulinda mazingira? mmesahau pembe za ndovu? Mmesahau hiyo Milima ya Nyandarua! mmesahau sehemu ya Uhuru Park? Mmesahau hiyo bandari wanayotaka kujenga huko Lamu/Malindi kwamba haitaharibu matumbawe ya Lamu? Mmesahau kuwa hiyo barabara ya kuanganisha Juba na Nairobi na bomba la mafuta halitaharibu mazingira?

Hivi ninyi wa-Kenya hamjui kuwa kuna barabara inayopitika kila siku Serengeti (kati ya Musoma na Arusha)?
 
Baseless argument. Myopic people hata hawajaona ramani tayari wanakurupuka ohhh 7th wonder iko hatarini blah blah za kila siku. Anayetaka barabara isijengwe alipe gharama ya kuweka underground train kuunganisha usafiri wa uhakika kwenye miji/vijiji husika. Usipende tu … …. kila kitu kina gharama, kama Kenya wanaona kuna hasara walipie hiyo gharama.

Aisee ebu jiulize maswali haya simple

  1. kuna abiria wangapi au mizgo tani ngapi kwa sasa inamove kupitia njia hiyo ? je mikoa ya Mara na Arusha inategemeana?
  2. Kuna faida gani bidhaa gani , ecnomic activity gani zina umuhimu wa huu mradi?
  3. Je hivi nini maaana ya neno Hifadhi. au eneo la hifadhi
Sidhani kama hapa suala ni la kenya. Hata kama tuna excess financial resounces za kufund ujenzi wa barabara wich is not true , barabara ya Arusha- mara haiwezi na haitakiwi kuwa among top 3 Priority road projects. Unless it is just political kuenzi mkoa wa mwalimu.

NB
Tanzania project threatens Kenya’s Seventh Wonder!!!!! - their side of a coin
"Tanzania Road project threatens its own 2nd Wonder!!!!!
"-
Our side of a coin
 
barabara inajengwa Tz, ardhi ya tz, wao kinawawasha nini? kwani serengeti iko nchini kenya? ni ajabu kwamba watu wanajali wanyama kuliko wanadamu kule musoma etc....tusisikilize propaganda za wakenya, watatupoteza bure...

Labda Masai Mara game reserve haina wanyama ila ina wategemea wale wanaomiggrate kutoka serengeti national park.
 
Aisee ebu jiulize maswali haya simple

  1. kuna abiria wangapi au mizgo tani ngapi kwa sasa inamove kupitia njia hiyo ? je mikoa ya Mara na Arusha inategemeana?
  2. Kuna faida gani bidhaa gani , ecnomic activity gani zina umuhimu wa huu mradi?
  3. Je hivi nini maaana ya neno Hifadhi. au eneo la hifadhi
Sidhani kama hapa suala ni la kenya. Hata kama tuna excess financial resounces za kufund ujenzi wa barabara wich is not true , barabara ya Arusha- mara haiwezi na haitakiwi kuwa among top 3 Priority road projects. Unless it is just political kuenzi mkoa wa mwalimu.

NB
Tanzania project threatens Kenya's Seventh Wonder!!!!! - their side of a coin
"Tanzania Road project threatens its own 2nd Wonder!!!!!
"-
Our side of a coin

Ukishajiuliza hayo maswala then iwe nini? Argument yako ni nini? Je umeelewa nilichoandika au umekurupuka?
 
Ukishajiuliza hayo maswala then iwe nini? Argument yako ni nini? Je umeelewa nilichoandika au umekurupuka?
Achana naye huyo haelewi analo liongea ndo waliyvo Wakenya wagumu wa kuelewa wepesi wa kusahau
 
Achana naye huyo haelewi analo liongea ndo waliyvo Wakenya wagumu wa kuelewa wepesi wa kusahau

Not really, issue sio eti wakenya this, wakenya that, hilo tumezoea, lakini barabara yenyewe hata haitaleta benefits zaidi ya Serengeti na Masai Mara zinavyo..
In fact i would say that the approval of the project was done blindly.
Saying that eti its threatening Kenya's seventh wonder is another myth, because the ignorant one will not realize that it will affect Tanzania as much.

Recently, Serengeti has been ranked at 3rd position in the Top 10 Outdoor & Adventure Destinations in Africa with Masai Mara at the top, now tell me what is destined for the two??

I would simply say the construction is unnecessary.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom