TANZANIA ITAENDELEA CHINI YA UTAWALA WA UPINZANI TU

Henry Kilewo

JF-Expert Member
Feb 9, 2010
899
1,103
VICHWA VYA HABARI MIAKA MITANO IJAYO NA KUENDELEA ...

TBC HABARI 2020: Ndugu Edward Lowassa aapishwa kuwa rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na kuwa rais wa kwanza kuongoza nchi hii kutoka chama pinzani.

GAZETI LA MWANASPOTI 2054: ujeruman yasema walistahili kutolewa na taifa stars kwenye michuano ya kombe la dunia, kwani Taifa stars walicheza kwa kujituma zaidi yao.

GAZETI LA NEW YORK MAIL 2060: rais wa Tanzania ataongoza mkutano wa G8(nchi nane bora zenye maendeleo ya viwanda)

GAZETI LA THE SUN 2072: Tanzania yavunja rekodi ya dunia kwa kuchukua kombe la dunia la wanawake, kombe la dunia la wanaume na klabu yake ya Azam FC kuchukua ubingwa wa dunia ndani ya mwaka mmoja.

BBC NEWS 2088: India yashukuru msaada kutoka Tanzania iliyowasaidia wananchi wa India walioathirika na mafuriko makubwa zaidi kuwahi kutokea kwenye historia ya dunia.

CNN NEWS 2091: Viwanda vitatu vya Tanzania vyaingia katika 20 bora ya viwanda duniani na kuvunja rekodi ya dunia kwa viwanda vitatu kutoka nchi moja.

ITV HABARI 2099: Roketi ya Tanzania iliyosafiri kwa muda mfupi zaidi kuliko roketi zote (Siku mbili tu) na kufika umbali mrefu zaidi uliowahi kufikiwa na roketi zote, yabaini kuwa kuna sayari nyingine iliyombali kuliko sayari zote na yenye uwezo wa kuwafanya wanadamu waishi huko pasipo kuhitaji usaidizi wa mashine za hewa kama zilivyo sayari zingine tofauti na dunia.

ALJAZEERA NEWS 2119: Mwanasayansi wa kwanza duniani raia wa Tanzania amegundua dawa ya kuwarudisha watu wazima na wazee utotoni ndani ya masaa 20 baada ya wao kutumia dawa hiyo.

CITIZEN NEWS 2135: Nchi ya Tanzania yasitisha msaada wake kwa Marekani baada ya nchi hiyo kuzidisha rushwa na matumizi mabaya ya pesa za umma kwa viongozi wake.

CTN NEWS 2150: Rais wa Uchina akutana na rais wa Tanzania ikulu jijini Dar es Salaam na rais huyo wa Uchina kufikisha ombi lake kwa rais wa Tanzania kuweza kulisaidia jeshi la Uchina kuweza kukabiliana na kundi la kigaidi la Dragon Hunters..
 
CHADEMA think tank at its best!

Kwa fikra hizi, haishangazi wananchi wa Jimbo la Mwanga waliamua kuonyesha hekima na busara zao kwenye sanduku la kura!
 
Last edited:
Lowasa yupi huyu mliyemsema Mwembe Yanga kuwa fisadi au mwingine?

yaani 2020 tuwe na rais fisadi?

chama cha mafisadi bado mnaota ndoto za mchana.
 
Haya ....kunja ngumi ...kunja ngumi....zungusha zungusha zungusha....mabadilikooooo ....
kunja ngumi....geuza mgongo ....inama kidogo ...inama zaidi ....mabadilikoooo....:D:D:D:D
 
Chama cha upinzani kinaisha kuwa cha upinzani kikiingia madarakani kwahiyo upinzani hautawali mahali popote.
Labda hili nalo linatugharimu kuona kama kuitwa wapinzani ni sifa, chama tawala sio kirefu cha ccm jamani hata sauti ya umma kinaweza kuwa chama tawala.

...2150 Ikulu haitakuwa Dar es Salaam
 
Back
Top Bottom