Habari zenu wanajamii, kuna baadhi ya watu hubeza juhudi za serikali ya awamu ya tano ambayo no ya viwanda,lakini kimsingi tumepiga hatua sana tazama hiyo machine iliyotengenezwa na watanzania,wale wanaoendelea kubeza shauri zao ila sisi tunasonga mbele
Note: mods msibadilishe content ya thread yangu