Augustine Moshi
JF-Expert Member
- Apr 22, 2006
- 2,556
- 1,394
KENYA HAKUNA LOLOTE
Wakenya hawana lolote wasitubabaishe hapa, watakacholeta hapa kwetu kama wakija ni ukabila uliokithiri tu, isitoshe hao wachache wanofanya kazi nchini mwetu waajiri wanawapa vichwa sana, hata kama wanaelimu sawa nasisi wanalipwa mishahara mikubwa kuliko sisi na wanapewa vyeo bila sababu. Anayebisha afanye uchunguzi kampuni zote ambazo zina mchanganyiko wa wakenya na watanzania akianzia na GIMCO AFRICA (ni real property management company ipo Dar)
Hata Tz kuna ukabila lakini sio ule wa Kenya, kule ili upate nafasi ya kusoma nje (kwa nafasi ambazo ruhusa ya aina moja au nyingine inahitajika) lazima uwe Mkikuyu au Mjaluo, ili upate kazi serikalini hivyo hivyo, kila kitu ukabila tuuuuuuuuu! Halafu mara zote wanajisikia sana na wana-tendency ya kuwadharau Watanzania. Nadhani makala iliyoanzisha mjadala huu inajieleza. Tusitegemee eti Mkenya atakuja kuwekeza Tz halafu eti atamwajiri Mtanzania, hiyo ni ndoto. Mimi nasoma nao (huku Ulaya) na darasani wapo watano, hawapatani kwa sababu ni makabila tofauti wanaishia kujipachika kwetu watanzania ili wapate kampani kwa sababu wanaona sisi tunapendana na tunaishi kama ndugu. Halafu eti wanashangaa tunawezaje kuishi hivyo.
Anyway, ukiachalia mbali hayo yooooote ninachotaka kusema ni kuwa hakuna tunachohitaji kutoka kwao. Hatuhitaji ujuzi wao wala hatuhitaji kufanya biashara nao, kwanini tujiunge nao? Bora hata tuanzishe ka-federation ketu tukaite East Coast Team (kama jina east african federation lina copyright ya Wakenya) amini nawaambia tutapata washirika wakumwaga. Hizi zote burundi, rwanda, zambia, uganda, etc zitajiunga. Kama hawanunui bidhaa za tanzania, hawaajiri wa tanzania, unadhani neno federation tu litabadilisha msimamo wao, thubutu.
Kama mtu angetaka wazo langu kama TZ ijiunge na wakenya au isijiunge, jibu ni NO KUBWA!!!!!! HATUNA CHA KUPOTEZA KWA KUTOUNGANA NAO wala HATUNA CHAKU- GAIN TUKIWA NAO, full stop.
Wanachotaka kujiungia TZ ni kuja kuchuma tu na kuondoka zao. Kwao wameporana vimeisha. Ndio maana vitu vingi tu vya Tanzania huku ulaya wamevitangaza vipo kenya, mfano Mlima kilimanjaro, kuna vijamaa unakikuta live kabisa kinaongea na mtu huku kinamwambia mlima upo kenya ila kivuli kipo tanzania? can u imagine?
Hata nyimbo za wasanii wetu wanazitangaza ni za wakenya. Unamkuta DJ disko anatangaza kwamba sasa hivi anaenda kucheza kibao kizuri sana cha msanii kutoka kenya halafu anapiga wimbo wa AY!!!!!!!
Vitu vingine wanavyoringia hata havina maana, eti hela yao iko juu! iko juu my foot!!! China ina uchumi unaotisha duniani lakini hela yao hailingani na pound, nini pound bwana hata dola tu!
Mtu anayesema eti Tanzania wavivu ndio maana wakenya wanatuzidi kufanya kazi ni mvivu yeye, kila siku watu wanafanya makazi yasiyoisha mpaka usiku halafu anasema wavivu, ebo!
Ili tujiunge nao labda
1. Waache tabia ya kudharau watanzania ili tuwe na uhakika kuwa hakutakuwa na ubaguzi kwenye mambo mbalimbali (kama wanatuzidi kitu ni kiingereza tu, lugha ambayo wala hata sio yao). Tulionao madarasani huku tunawapiga bao tu kama issue ni marks, inamaana kiingereza hakiwasaidii.
2. Watanzania wachache wanaodhani wakenya ni bora waondoe mawazo hayo, kwa sababu hawana ubora wowote ndio maana wanataka sana kuungana na Watz, na kwao wana matatizo ya kufa mtu. The worst slum in the world ipo Nairobi inaitwa Kibera.
3. (Sharti gumu kuliko yote) Waache ukabila, waunde udugu kati ya makabila yao kwanza. Labda wajiunge/waichukue Tarime tu ndo waunde federation.
4. Suala la rais wetu kusafiri ni letu kinchowauma ni viongozi wetu kutokwenda kutembea kenya mara kwa mara, hata kama viongozi wetu ni wapuuzi lakini wana akili walau ya kujua kuwa kenya hakuna chaku-gain, sasa wakafanye nini kule?
NACONCLUDE SASA
Nakuabaliana na wote waliosema Tz inahitaji muda kabla haijajiunga na tribalists wale. Mpaka tuwe wabinafsi kama wao, wakabila kama wao, wenye roho mbaya kama wao, wabaguzi kama wao, na wenye dharau kama wao.
Nyerere alikuwa tayari kuchelewesha UHURU wa Tanganyika ili Afrika Mashariki ipate uhuru kama nchi moja. Was HE wrong?
Kuna wakati ilikuwa fashion Tanzania kuita Kenya NYANGAU. Naona OKON bado anapenda kuwaita hivyo.
Kuna hasara gani kwa mtu mwenye shilingi mia mbili kuanza biashara na mtu mwenye shilingi mia tatu? Ni busara kusema subiri mpaka nami nipate shilingi mia tatu ndio tushirikiane?
Tukishirikiana si lazima tukubali ardhi yetu iwe ardhi ya kila mwananchi wa Afrika ya Mashariki. Kwanza ni vema vijiji vyote viandikishe ardhi yao sasa. Ardhi ni mali. Hakupashwi kuweko na ardhi isiyo na mwenyewe. Tukiungana, thamani ya ardhi yetu itapanda mara dufu. Yaani tutakuwa matajiri wa ardhi. Kuna mbaya gani hapo? Akiitaka mtu itabidi ailipie sana sana.
Kuna hasara gani kuwa taifa moja kubwa badala ya kuwa mataifa matano madogo yanayodharauliwa? Tusioneane wivu. Tuungane sasa. Kwenye hili, tuache Uswahili.
....seems wengi hawataki huu ushirikiano lakini ukiangalia vizuri ni kutokuelewa na arrogance ya hali ya juu ambayo haina maana yoyote,ardhi ya tanzania itabaki ya Tanzania tuu na sijui hiyo idea ya wakenya kuja kuchukua ardhi yetu imetoka wapi? na sijui kama ni kweli wao wanatuhitaji kuliko tunavyowahitaji,sitashangaa nchi zote zikihamishia cargo Mombasa,tutaambulia heavy taxes kutoka nchi zote hizo tukitaka kufanya nao biashara na bureaucracy ya hali ya juu...well,nafikiri wata move on bila sisi maana wenzetu wameshaona arrogance yetu na ukweli hatuna chochote cha kuwazidi...ngoja wenzetu waendelee kuweka mambo sawa na ushirikiano katika Biashara,education,miundo mbinu,technology,security etc na sisi tuendelee na arrogance yetu ya wanataka ardhi yetu or we have this and that,nawashauri wakenya na wengine wafanye muungano wao waachane na ujinga wa watu wasio elewa maana ya ushirikiano!
LAND IS EVERYTHING. I don't think some of us realize this land issue....With the current land laws, any tom, dick and harry off the union can come here and aquire land...free of charge. How would you like to see your ancestry land (unnocupied, as most land in TZ is at the moment) in your hometown and/or village be owned by a kenyan, Somali or Tutsi? Bring their culture into our country? These people are consumed by rudeness, tribalism, racial/ethnic divides, and yes...GENOCIDE! and much more! Tanzania has no history of any of that, and it shouldn't be written history in the 21st Century. Would any Tanzanian like this kind of garbage at their backyard? I know I wouldn't. We may remain friends and neighbors, but we simply cannot share our heritage with these people, especially our motherland!
Here I choose to diasgree with you,
For me as mentioned by EA Minister, the biggest problems of Tanzania are movement by using ID and land ownership.
Do you know that it is not easy for Kenyan to travel from Nairobi to Ethiopian and Somali borders? Those part of kenya the insecurity is high and if you want to go there you should have drums of water to bribe rebels before they can let you pass. You people, you are being deceived by Kenya represented by Nairobi, Mombasa, Nakuru and Njiru, to be specific central Kenya and Western and bite of South because of tourism. Kenyan have abondoned Lokichoki, Lokitang, Ramu, Loboi, Lodwar etc. Do you know these towns? They do exists and find out what is going there. And they represent big part of Kenya.
They say charity begins at home, For Kenyan, the free movement should start in their own country. They should first start moving freely to their northern, Eastern etc regions, before considering coming to sourthen part of Tanzania.
Be advised that those who are behind this EA free movement are those who grubbed Kenyan land. They want to extend to Tanzania.
....huna idea zaidi ya fear spreading!
Excuse me...who are you to even suggest that I have no idea? Give a break! I know what I know and I am simply calling "a spade a spade"! I have no hidden agenda other than to protect my country and what is rightfully Tanzanian.
Maybe we should ask who you really are...are you really a Tanzanian? Fear spreading? Where were you when the Hutu/Tutsi genocide took place? Would you like that to happen in Tanzania? Because it's already started in Kabila's country (started with a simple immigrant occupying land in Congo, and look what's happenign now...), and it could happen in Tanzania!
If you are a Kenyan, Ugandan or some other person other than a Tanzanian, then I might understand, but don't tell me that our land will be safe when we all come together as one big happy family!
....your type mpo wengi na ndio mwanzo wa matatizo yote!
The misleading part of this article is when it suggests that Tanzania doesn't want integration or co-operation with other EA countries. The truth is Tanzania doesn't agree with the terms of co-operation as they are in the existing portfolio. The writer seems to be trying to outrage Tanzanian nationals rather than discussing the matter.
I gree kuwa Tanzania imekua kikwazo kwa kuunganisha Jumuiya ya Afrika Mashariki. Why?
................
..............
Third Tanzania with out solving Zanzibar (union problem )will not get any where in East African community.
Forth CCM it doesnt include all wadau in clude allpolitical parties and civil society on making umazi juu ya EAC.
Fifth corruption in the ruling party( CCM) is a huge problem for the delvelopment of Tanzania is un controlobale any more.
Sixth many Tanzanian worried about Brother Museveni ambition he want to get his dream job first East African President for life never retire no way ?
.........
Kwa ruhusa yako, naomba ni-copy na kuitundika kwenye nation readers' digest column. Kwa ruhusa. Maana umemwaga kila kitu ambacho roho im ekuwa ikinikereketa toka juzi baada ya kusoma huu uchafu!! Kwa wale tuliokwenda na kuishi Kenya kwa kweli inatupa picha kuwa Nairobians ni kama Cape Townian. Hawajui kiwngine zaidi ya pale walipo.
First, what Union problem? Besides Mizengo Pinda said kwanza hiyo Zanzibar sio nchi - I rest my case!
Second, what does CCM has to do with the EAC issue? Didn't serikali ya awamu ya nne go around the whole country asking for wananchi's opinion, including asasi zote za na zisizo za kiserikali? If I remember correctly hata vyama vya upinzani took a lot of pot-shots at the Federation thing. Come on now, lay off CCM as this is a non-issue.
Thirdly, corruption is everywhere na hao nchi jirani are not better off than we are! Furthermore, where have you been the last week or so? Isn't the country turning a new leaf when it comes to fighting corruption?
Fourthly, the Museveni thing is purely based on heresay and I personally think its another non issue.
My 2 cents..........