Tanzania is natural a donor country

Tanzania is naturally a donor country / Tanzania is a natural donor country - nadhani mojawapo ya hizo sentesi mbili ndilo ulichotaka kuandika. Ni kweli kabisa Mungu ametujalia rasilimali za kila aina. Lakini nahisi kuwa tatizo kubwa tulilonalo ni rasilimali akili, ambayo inakaa ndani ya vichwa.
 
Ni kweli nadhani hiyo ya kwanza ndio hasa alitaka kuimaanisha ila ingekuwa ni kiswahili kimekosewa uingereza sidhani kingepata whistle blower haraka kiasi hicho sasa huu kaka ni ujumla sugu
 
Back
Top Bottom