Tanzania inakwenda wapiiiiiiiiii?

Tanzania inakwenda wapiiiiiiiiii?

fredrick dickson

New Member
Joined
Jun 5, 2013
Posts
3
Reaction score
0
hii ni english ya mwanafunzi bora wa form 4 kutoka shule mojawapo za kata TZ akimwambia MZUNGU ugumu wa kupanda mlima kilimanjaro sababu njia haijanyooka moja kwa moja "SIR! TO PLANT MOUNT KILIMANJARO IS NOT A PRESIDENT JOB BECOZ THE WAY IS NOT SNAKE ONE BY ONE"
 
Huyu kichwa maji mwingine alisema hivi, today know is sharp akimaanisha leo jua ni kali!
 
Back
Top Bottom