Askofu Kilaini: Tanzania inahitaji rais kama Kagame

Meseji ya Askofu ni kubwa mno. Ebu fikiri siku unasikikia familia ikilalamika bora fulani angekuwa baba yetu! Wakati huyo fulani ana hata baiskel wakati wewe unakila kitu? Au mkeo analalama bora fulani angekuwa mume wangu! What does it imply? Your useless father, irresponsible father or
 
Tatizo la hawa maaskofu ni magamba pia...hatutawasahu kamwe kwa kuudanganya huma wa tanzania kwa kuwaaminisha kua JK ni chaguo la MUNGU....wanatekwa na hisia as if wanatumia masaburi kuwaongoza? laiti km kweli TZ ingekua ni nchi ya Demokrasia hawa wamgeozea jela kwani haiwezekani kumpigia DEBE KIKWETE na uku sie tukijiandaa kupiga kura that is DOUBLE STANDARD ya hawa maaskofu...nchi yenye mfumo wa vyama vingi kwanini viongozi wa DINI wawashawishi waumini wao kua mgombea fulani wa chama fulani ndie BORA kuliko wengine? What if km mgombea wa upinzani angeshinda wakati ule wangeweka wapi nyuso zao zilizojaa unafiki? wangekua BORA km wangewafundisha waTanzania kua tupime SERA na tuchague kiongozi kulingana na SERA za chama chake rether than doing shit! walishindwa nini kumwaminisha Dr SLAA kua nae ni chaguo la mungu nauku nae alikua na support yakutosha? Haya madudu anayofanya JK hawa maaskofu they are responsible kwa unafiki wao na USALITI wao....next tm they should kp quiet kuliko kutoa PUMBA......
 
Kagame na Kikwete hawaivi pamoja. Wanavumiliana tu. Yote kutokana na wivu wa JK kuwa Kagame kila siku kusifiwa. Kauli ya Askofu Kilaini imeongeza chumvi kwenye kidonda. Nina waswasi hao wawili wakikutana baada ya hii kauli ya Kilaini huenda wasipeane mikono.
 
Nakubaliana nae kwa 100%, Rwanda wapo juu sasa na nchi iliyotoka kwenye Genocide, hawana madini ila wana mbuga moja yenye sokwe mtu na wanalima kahawa lakini wanapiga hatua nzuri sana.

Tunahitaji mtu kama kagame kwa miaka 20 hivi ili abadili akili za watanzania ili wawe wazalendo

kiukweli kumpata kagame wa tz ndani ya ccm ni ngumu.kagame wa rwanda ameifikisha nchi yake pazuri.
Jamaa alishashtuka muda mrefu akaona mbali akaamua kuchagua mfumo wa uongozi ambao umemsaidia kuwanyoosha wakorofi mapema.kagame anatumia mifumo miwili kwa wakati mmoja,anatumia demokrasi kwa wananchi na kwenye viongozi wake atakayeleta ujinga kwenye madaraka anaenda naye kidicteta.
Tofauti ya hapa kwetu ushkaji umezidi mpaka umepitiliza,ukipewa madaraka mtu anafanya party mpaka kijijini kwao,rwanda kagame akikupa madaraka wengi wanawekaga mkono kwenye tama maana anajua akikosea tu anakutana na joto ya jiwe...,jela,kizuizini,nk.
sasa hapa tz pamoja na rasilimali tulizonazo nani anaweza style hiyo zaidi ya ubinafsi?
Inauma sana nchi tajiri lakini wananchi maskini.
Maaskofu na viongozi wa dini tumuombe mungu kama kuna laana yoyote katika nchi iondoke maana siyo kitu cha kawaida.kila kitu kipo tz tumekosa viongozi tu.
MUNGU IBARIKI TANZANIA TUPATE VIONGOZI WAZALENDO WATAKAO WATOA WATANZANIA KWENYE UMASIKINI.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom