Sidhani kama unajua ulichoandika ni vyema ukaacha mihemko wakati wa kuandika AU uwezo na upeo wako wa kupambanua mambo ni mdogo mno.Mfano CCM ikisema kila mtanzania lazima awe na shamba upinzani watakuja mbio kupinga na kutishia kuipeleka CCM umoja wa mataifa kwa kulazimisha kila mtu awe mkulima!!! Lakini ukiwauliza vyama vya upinzani vyote kuwa hivi nyie sera zenu za kudumu ni zipi ambazo vyama vyenu vikitajwa tu mtu anajua yes hii ndio sera ya kudumu ya chama changu?
Vyama vya upinzani TANZANIA tulikataa katakata tume iliyoundwa kuzunguka nchi nzima asilimia 82 ya waliohojiwa na tume mijini na vijijini walikataa kata kata vyama vingiLabda pia wala hatuhitaji hicho Chama cha Upinzani, ukiniuliza mimi tunaweza kwenda hivi hivi tu.
Wewe mwendawazimu, kama tulikuwa hatuna vyama vingi,ulitaka watu wakuanzisha vyama vya upinzani watoke wapi? Chama ni watu na itikadi, sio masuala ya katoka wapi!Vyama vya upinzani TANZANIA tulikataa katakata tume iliyoundwa kuzunguka nchi nzima asilimia 82 ya waliohojiwa na tume mijini na vijijini walikataa kata kata vyama vingi
Nyerere alipopelekewa hiyo ripoti akasema ahhh hata kama wako wachache wanataka ruhusuni tu
Lakini ukitizama hadi leo msimamo wa watanzania walio wengi hawajabadilika hawataki vyama vingi
Hata vilivyoanzishwa vyote viianzishwa na wana CCM ambao walipigwa chini uongozi kwenye serikali na chama mihasira yao ndio wakapeleka kuanzisha vyama vya siasa
mfano CHADEMA kilianzishwa na MTEI NA BOB MAKANI wote walikuwa viongozi wa serikali waliopigwa chni na serikali
CUF ILIANZISHWA NA WAPIGWA CHINI,NCCR pia,NK
Aliewaroga alisombwa na mafurikoLabda pia wala hatuhitaji hicho Chama cha Upinzani, ukiniuliza mimi tunaweza kwenda hivi hivi tu, ...
Dr Slaa yule ingekuwa ni awamu hii, angekuwa ameshauwawa!Chadema CCM tutakayobaki kuikumbuka ni ile ya kipindi cha DK Slaa iliyokuwa na hoja ya kupambana na ufisadi ,Rushwa na uzembe kazini.Hii Chadema yenu ya ushoga wa akina Amsterdam na ya kuweka rehani madini yetu kwa wazungu hatuihitaji itokomee kuzimu na hatuikumbuki
Kwa sasa Tanzania inahitaji Katiba mpya na tume huru ya uchaguzi basiiiiiiii, kama vyama vya siasa vipo zaidi ya 20, bila tume huru ya uchaguzi chaguzi zote zinatakazo fannyika ni 'ze comed'