Tanzania inachefua sana


Karibu Senegal !
Nimekatiza kusoma bandiko lako pale tu ulipoanza kuonyesha kuwa hujui jambo muhimu kuhusu Senegal [emoji1211].

Huyo Rais aliyeondoka madarakani alikuwa ni kiongozi wa upinzani aliyeshinda uchaguzi mkuu wa Senegal mwaka 2019.

Na aliingia madarakani kwa mbwembwe na ahadi za kutimiza utawala wa kidemokrasia tofauti na mtangulizi wake yule Mzee Wade.

Miaka mitano baadae naye amekuwa mtawala .....

Sasa anaingia kijana mwingine kutoka coalition ya Sonko aliyezuiwa kwa hila na serikali ya Mark Sally kugombea.
Na hiyo ndiyo hasa iliyowabeba hawa vijana maana wananchi walishuhudia mateso waliyoyapitia!

Kwa hiyo wamepata "POLITICAL SYMPATHY"

Nyinyi wapinzani wa Tanzania kazi yenu ni "kugombania" Tonge na sio kuwapigania wananchi. Ndio sababu hata wapinzani kwa wapinzani hampendani wala kuaminiana.

Halafu vijana wa kitanzania wengi wapenda short cuts za maisha.wale wa west Africa ni wapambanaji na wakienda shule wanaenda kweli.
Niambie ni mpinzani gani msomi wa Tanzania ambae amewahi kwenda kuongeza elimu ili kujisimika vizuri kwenye mazingira ya kufanya kazi na siasa kwa pamoja?
 
Hamia south sudan
 
Kama ni hivi basi na Tanzania tuna demokrasia yetu.
 
Acha wivu
Watu wanalamba asali kwanza wewe hupendi?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hupendi kulamba asali?
Hakika ukipewa buyu la asali hizi kelele utaziacha
Ngoja tulambe asali sisi wazee

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Tulia wewe
Kaa kimya
Hupendi kulamba asali


Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Viongozi wa ccm walio wengi kazi yao ni kubeba wasudani na WA Ethiopia kwenye ma V8 na kupeperusha bendera ya chama cha mapinduzi huwezi kupata viongozi huko zaidi ya majambazi yanayovaa suti
Kwani umenyimwa na wewe kuiba

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…