The Whistleblower
JF-Expert Member
- Dec 9, 2022
- 269
- 459
Mkuu umeongea point sanaHii Nchi inahitajika hiki kizazi cha Julius Nyerere kifutike ndiye muasisi wa upumbavu huu kumbuka hata yeye alikuwa akisifiwa zidumu fikra sahihi za mwalimu.
Watahama mafisadi wa CCM,utatoa wapi viongozi Wazalendo katikati ya majizi yenyewe?hamia Senegal sasa namakasiriko yako!,maana unafikiri mkichagua mpinzani sijui ndo mmepata sana! swala sio upinzani wala chama kikuu swala ni kupata viongozi wazuri,wazalendo na wenye vision na hali yakutatua matatizo yetu
The greatest countries in the world have Democracy , China has Democracy within a single ruling Party, But Tanzania doesn't have within CCM, that's why the late Lowassa was chosen in his CCM Party but Kikwete wrote off his name for his personal interest.Democracy..Democracy work hard ..it won't guarantee you food on the table
Kabisa CCM ni kikwazo kikubwa cha maendeleo yetu tuikatae.Tanzania inaendelea kubakia nyuma wakati mataifa mengi ya kiafrika yakipiga mwendo kwenye Demokrasia ya kweli.
Tanzania hakuna Demokrasia ya kweli isipokuwa kuna kiini macho cha Demokrasia au mazingaombwe ya Demokrasia.
Ni Tanzania tu ambako Rais wa nchi ni lazima awe Dokta, yaani mtu anapokuwa Rais wa Tanzania anapewa cheo cha ziada cha Udokta, wakati Rais wa nchi ni mkubwa kwa hadhi Kuliko vyeo vyote, maana yake Baada ya Mungu kwa hadhi anayefuata ni Rais wa nchi.
Lakini kwa Tanzania ni lazima waanze na Dokta, yaani kumwita tu mh Rais wanaona haitoshi.
Senegal Tayari wamepata tena Rais kutoka upinzani huku sisi tukiendelea kuikumbatia CCM, Chama kilichojichokea kabisa na kimekosa Dira ya kuongoza nchi.
CCM ni chama cha watu aina mbili Tu, kundi la kwanza ni watu wanaofaidika na Chama,na kundi la pili ambalo ndo kubwa zaidi ni la mambumbumbu wa kutupwa,ambao akila na kushiba,hata ukimwambia kuwa hii hewa inaletwa na CCM yeye anakubali tu.
Ni Tanzania tu, ambako Rais anapewa kila aina ya sifa na wapambe ili kujikomba.
Ni bora wangefuta kabisa vyama vya upinzani ili wabakie na li CCM Lao Kuliko kuwafanya watu wote hawana akili kabisa.
Yaani inashangaza sana, Tanzania yenye kila kitu kizuri, kuanzia ardhi, Raslimali zote lakini watu wake ni maskini wa kutupwa halafu Chama cha CCM kilichofeli kuongoza nchi eti bado kinawaambia wananchi wakipe ridhaa Tena.
Aisee Tanzania unachefua sana wewe nchi
TANZANIA Haiwezi kuwa Nchi ya KIDEMOKRASI ya kweli kwani KATIBA inayotumika haipo KIDEMOKRASIA na VIONGOZI waliopo Wanaogopa KATIBA MpyaTanzania inaendelea kubakia nyuma wakati mataifa mengi ya kiafrika yakipiga mwendo kwenye Demokrasia ya kweli.
Tanzania hakuna Demokrasia ya kweli isipokuwa kuna kiini macho cha Demokrasia au mazingaombwe ya Demokrasia.
Ni Tanzania tu ambako Rais wa nchi ni lazima awe Dokta, yaani mtu anapokuwa Rais wa Tanzania anapewa cheo cha ziada cha Udokta, wakati Rais wa nchi ni mkubwa kwa hadhi Kuliko vyeo vyote, maana yake Baada ya Mungu kwa hadhi anayefuata ni Rais wa nchi.
Lakini kwa Tanzania ni lazima waanze na Dokta, yaani kumwita tu mh Rais wanaona haitoshi.
Senegal Tayari wamepata tena Rais kutoka upinzani huku sisi tukiendelea kuikumbatia CCM, Chama kilichojichokea kabisa na kimekosa Dira ya kuongoza nchi.
CCM ni chama cha watu aina mbili Tu, kundi la kwanza ni watu wanaofaidika na Chama,na kundi la pili ambalo ndo kubwa zaidi ni la mambumbumbu wa kutupwa,ambao akila na kushiba,hata ukimwambia kuwa hii hewa inaletwa na CCM yeye anakubali tu.
Ni Tanzania tu, ambako Rais anapewa kila aina ya sifa na wapambe ili kujikomba.
Ni bora wangefuta kabisa vyama vya upinzani ili wabakie na li CCM Lao Kuliko kuwafanya watu wote hawana akili kabisa.
Yaani inashangaza sana, Tanzania yenye kila kitu kizuri, kuanzia ardhi, Raslimali zote lakini watu wake ni maskini wa kutupwa halafu Chama cha CCM kilichofeli kuongoza nchi eti bado kinawaambia wananchi wakipe ridhaa Tena.
Aisee Tanzania unachefua sana wewe nchi
Pumbavu wewe, vision ccm ?hamia Senegal sasa namakasiriko yako!,maana unafikiri mkichagua mpinzani sijui ndo mmepata sana! swala sio upinzani wala chama kikuu swala ni kupata viongozi wazuri,wazalendo na wenye vision na hali yakutatua matatizo yetu
Kwa kuwa katiba mpya inawapa maanufaa ya viongozi wa chama tawala haitakuwa rahisi kwa wao kuibadilosha katiba hiiTANZANIA Haiwezi kuwa Nchi ya KIDEMOKRASI ya kweli kwani KATIBA inayotumika haipo KIDEMOKRASIA na VIONGOZI waliopo Wanaogopa KATIBA Mpya
CCM tunaijua sana ni Wezi sasa kuhusu CHADEMA unao ushahidi?Saivi hata ukichagua upinzani wezi wanahamia huko huko wanaenda kusifia tunahitaji sheria za kuwawajibisha au kuwabana viongozi
CCM ni janga CDM ni janga zaidi
Wewe ushahidi wa CCM ni upi?CCM tunaijua sana ni Wezi sasa kuhusu CHADEMA unao ushahidi?
Kwa kuwa wa-Tanzania tumezembea kwa kiasi kikubwa sana ktk kuiondoa CCM mapema kutoka madarakani, basi kwa sasa inahitajika KAFARA KUBWA SANA ili kufanikisha Jambo hilo. Tusidanganyane hapa, inahitajika Kafara kubwa nchi hii ili kuondokana na janga hili kubwa lililopo.Tanzania inaendelea kubakia nyuma wakati mataifa mengi ya kiafrika yakipiga mwendo kwenye Demokrasia ya kweli.
Tanzania hakuna Demokrasia ya kweli isipokuwa kuna kiini macho cha Demokrasia au mazingaombwe ya Demokrasia.
Ni Tanzania tu ambako Rais wa nchi ni lazima awe Dokta, yaani mtu anapokuwa Rais wa Tanzania anapewa cheo cha ziada cha Udokta, wakati Rais wa nchi ni mkubwa kwa hadhi Kuliko vyeo vyote, maana yake Baada ya Mungu kwa hadhi anayefuata ni Rais wa nchi.
Lakini kwa Tanzania ni lazima waanze na Dokta, yaani kumwita tu mh Rais wanaona haitoshi.
Senegal Tayari wamepata tena Rais kutoka upinzani huku sisi tukiendelea kuikumbatia CCM, Chama kilichojichokea kabisa na kimekosa Dira ya kuongoza nchi.
CCM ni chama cha watu aina mbili Tu, kundi la kwanza ni watu wanaofaidika na Chama,na kundi la pili ambalo ndo kubwa zaidi ni la mambumbumbu wa kutupwa,ambao akila na kushiba,hata ukimwambia kuwa hii hewa inaletwa na CCM yeye anakubali tu.
Ni Tanzania tu, ambako Rais anapewa kila aina ya sifa na wapambe ili kujikomba.
Ni bora wangefuta kabisa vyama vya upinzani ili wabakie na li CCM Lao Kuliko kuwafanya watu wote hawana akili kabisa.
Yaani inashangaza sana, Tanzania yenye kila kitu kizuri, kuanzia ardhi, Raslimali zote lakini watu wake ni maskini wa kutupwa halafu Chama cha CCM kilichofeli kuongoza nchi eti bado kinawaambia wananchi wakipe ridhaa Tena.
Aisee Tanzania unachefua sana wewe nchi
Viongozi wa ccm walio wengi kazi yao ni kubeba wasudani na WA Ethiopia kwenye ma V8 na kupeperusha bendera ya chama cha mapinduzi huwezi kupata viongozi huko zaidi ya majambazi yanayovaa sutihamia Senegal sasa namakasiriko yako!,maana unafikiri mkichagua mpinzani sijui ndo mmepata sana! swala sio upinzani wala chama kikuu swala ni kupata viongozi wazuri,wazalendo na wenye vision na hali yakutatua matatizo yetu
Democrasia inatusaidia nn wakat nchi inaliwa na hao wanaokutia kichwa cha democraciaTanzania inaendelea kubakia nyuma wakati mataifa mengi ya kiafrika yakipiga mwendo kwenye Demokrasia ya kweli.