Gwakukahja
JF-Expert Member
- Sep 26, 2015
- 1,119
- 737
Habari wakuu naomba kufahamu kwa idadi mpaka sasa Tanzania ina mikoa, wilaya, kata, vijiji na vitongoji vingapi?
Naaanza na mikoa iko 26Habari wakuu naomba kufahamu kwa idadi mpaka sasa tanzania ina mikoa, wilaya, kata, vijiji na vitongoji vingapi.?