Tanzania ina macelebrity wa kweli?


Azarel

Azarel

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2016
Messages
12,544
Likes
13,055
Points
280
Azarel

Azarel

JF-Expert Member
Joined Aug 25, 2016
12,544 13,055 280
Ama kweli zamani JF ilikuwa ya hadhi ya kipekee japo sikuwa nimejiunga.

Watu walikuwa wanaleta mada za maana na michango yenye hadhi na hawakimbilii ku like au kuona likes zina maana kivile.

Mimi nimesoma hizi mada za 2009 na kuona tofauti kubwa sana na za sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Forum statistics

Threads 1,251,870
Members 481,917
Posts 29,788,371