Tanzania imezuia usafirishaji wa makontena kwenda Zanzibar kupitia bandari ya Mombasa

Gangi Longa

JF-Expert Member
Feb 5, 2010
275
135
Serikali ya Tanzania imezuia usafirishaji wa Makontena kwenda Zanzibar kupitia Bandari ya Mombasa Kenya

Julius Musyoki (Kamishna wa forodha na uthibiti mipakani wa Kenya) amesema kuwa TRA wamewaandikia Kenya, wamesema katika uongezekaji wa kuingizwa kwa bidhaa kimagendo Tanzania, chanzo chake kimeonekana ni Makontena yanayoingia kupitia bandari ya Mombasa

Makontena 264 ambayo yalikuwa yaende Zanzibar yamezuiwa nchini Kenya katika bandari hiyo ya Mombasa

Makontena kadhaa yalikuwa yanapelekwa bandari ya Mombasa halafu yanasafirishwa kwenda sehemu husika kama Zanzibar kwa kupitia boti

========

Tanzania bans transshipment containers to Zanzibar through Mombasa port
thumb_jetmhy27rwtwb55a8670ff6fa69.jpg

Clearing agents in Mombasa could be forced to lay off employees after a ban on trans-shipment cargo to Zanzibar by the Tanzania government.

The Tanzania Revenue Authority (TRA) has written to Kenya about the decision.

A spot check revealed 264 containers destined for Zanzibar being held at the port of Mombasa.

Traders who did not wish not to be named Thursday because of the sensitive nature of the matter said TRA had given them a window only to clear the containers already in Mombasa, but the ban was still in force.

The matter first emerged during an assessment on institutions, installations and facilities of the East African Community along the northern corridor at Kenya Ports Authority headquarters in Mombasa by the team leader of the East African Legislative Assembly (EALA) delegation, Kasamba Mathias.

Trans-shipments involve cargo brought to the Mombasa port and transferred to final destinations such as the Zanzibar islands using smaller vessels such as boats.

In a notice, Kenya’s Commissioner of Customs and Border Control Julius Musyoki said TRA had reported increased cases of smuggling that adversely affected Pemba and Unguja islands.

He said the source of goods being smuggled into Tanzania had been traced to containers stripped at the Mombasa port.

Tanzania bans transshipment containers to Zanzibar through Mombasa port
 
Kila siku Kuna visa vipya vinatokea Kati ya hizi nchi mbili, soon tutasikia wanajeshi wa Tanzania na Kenya wapigana.....baadae tutasikia vikosi vya Kenya na Tanzania vinapigana!
 
Tatizo la wakenya ni moja tu,kujiona wao wanajua sana wakati wanaojua zaidi wanawaangalia na kucheza na akili zao
 
Serikali ya Tanzania imezuia usafirishaji wa Makontena kwenda Zanzibar kupitia Bandari ya Mombasa Kenya

Julius Musyoki (Kamishna wa forodha na uthibiti mipakani wa Kenya) amesema kuwa TRA wamewaandikia Kenya, wamesema katika uongezekaji wa kuingizwa kwa bidhaa kimagendo Tanzania, chanzo chake kimeonekana ni Makontena yanayoingia kupitia bandari ya Mombasa

Makontena 264 ambayo yalikuwa yaende Zanzibar yamezuiwa nchini Kenya katika bandari hiyo ya Mombasa

Makontena kadhaa yalikuwa yanapelekwa bandari ya Mombasa halafu yanasafirishwa kwenda sehemu husika kama Zanzibar kwa kupitia boti

=======

Clearing agents in Mombasa could be forced to lay off employees after a ban on trans-shipment cargo to Zanzibar by the Tanzania government.

The Tanzania Revenue Authority (TRA) has written to Kenya about the decision.

A spot check revealed 264 containers destined for Zanzibar being held at the port of Mombasa.

Traders who did not wish not to be named Thursday because of the sensitive nature of the matter said TRA had given them a window only to clear the containers already in Mombasa, but the ban was still in force.

The matter first emerged during an assessment on institutions, installations and facilities of the East African Community along the northern corridor at Kenya Ports Authority headquarters in Mombasa by the team leader of the East African Legislative Assembly (EALA) delegation, Kasamba Mathias.

Trans-shipments involve cargo brought to the Mombasa port and transferred to final destinations such as the Zanzibar islands using smaller vessels such as boats.

In a notice, Kenya’s Commissioner of Customs and Border Control Julius Musyoki said TRA had reported increased cases of smuggling that adversely affected Pemba and Unguja islands.

He said the source of goods being smuggled into Tanzania had been traced to containers stripped at the Mombasa port.

Source: Standard Digital
 
Zanzibar mko wapi? mnapoteza mapato hivi hivi, simamieni hilo mjipatie mapato, kama mtu anataka kuleta bidhaa Zanzibar kwa nini asiagize moja kwa moja ikafika katika bandari ya Zanzibar mkakusanya kipato? mapato yanapotea hivyo, hongereni sana TRA, huo ni mwanya mkubwa sana wa upotevu wa mapato.
 
Nadhani meli nyingi kubwa zinatia nanga Mombasa pia bei inakua ndogo kwa kutumia bandari hiyo
Zanzibar mko wapi? mnapoteza mapato hivi hivi, simamieni hilo mjipatie mapato, kama mtu anataka kuleta bidhaa Zanzibar kwa nini asiagize moja kwa moja ikafika katika bandari ya Zanzibar mkakusanya kipato? mapato yanapotea hivyo, hongereni sana TRA, huo ni mwanya mkubwa sana wa upotevu wa mapato.
ng
 
Back
Top Bottom