MANKA MUSA
JF-Expert Member
- Jul 9, 2014
- 923
- 1,101
Rais Samia Suluhu anataka kuifanya Tanzania kuwa nyumba ya Haki.
Kutenda haki ni kuwa na akiba ya kesho kila mmoja wetu anatakiwa amthamini mwenzake na kumpatia haki anayostahili.
Rais Samia ana amini kabisa katika nafasi ya uongozi ni kutanguliza hekima kwanza Ili aweze kufanikiwa kujenga jamii yenye Haki na Uadilifu.
Rais Samia anataka kuona haki inatendeka kwa Raia wote, hapendi kuona haki inakuwa bidhaa adimu nchini.
Mambo aliyoyafanya kusimamia haki ni pamoja na
- Mtu hatakiwi kukamatwa na kupelekwa mahakamani bila upelelezi kukamilika. Hii itasaidia kupunguza milundikano ya watu katika mahabusu zetu.
- Upelelezi usizidi siku nne.
- Haki za wafungwa katika kupata chakula, mavazi na matibabu. Hawa pia ni wanadamu wanahitaji kupewa haki. Kipindi cha nyuma tulishuhudia kauli za kuogofya wafungwa wapewe kazi ngumu na kupigwa mateke.
- Haki za Watoto wadogo dhidi ya ukatili na unyanyasaji wa kijinsia kuruhusu watoto wakike waliopata ujauzito kuendelea na masomo.
- Vyombo vya usalama kupunguza kubambikia watu kesi. Hili ni eneo la uporaji wa Haki Rais Samia amekuwa akilikemea kwa nguvu zote.
- Kukataa Rushwa na vitendo vyote vinavyosababisha ukandamizaji wa Haki.
Haki huinua Taifa!! Tumuunge mkono Rais Samia kwenye kusimamia na kutoa haki inaanzia kwenye ngazi ya familia kila mmoja ana wajibu wa kuifanya Tanzania kuwa nyumba ya haki.