Tanzania imefungwa 2-0 na Ivory Coast.

Tanzania imefungwa 2-0 na Ivory Coast.

mahoza

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2012
Posts
1,248
Reaction score
579
Sorry tumefungwa na Ivort Coast 2-0.

Source BBC Sports.
 
Tumejitahidi ndugu zangu watanzania maana tulifikiri tungenyeshewa na mvua ya magori.
 
Utawasikia wakisema tulichelewesha kufika hivyo tumekosa mda wa kufanya mazoezi
 
angalau wamepunguza idadi ya magoli. naumia sana kutohamasika kuipenda T.Stars
 
Yanatutosha sana...maana wakija hapa draw watapata na kusonga mbele!!
 
Kwani hii ni mtoano?Mbona tupo kundi moja na Gambia,Morroco,Ivory coast,na Tz?{ Gambia 1-1 Morroco }
 
Nimepata moyo sasa ni kukaza buti tu lolote lawezekana. Nani alijua watafungwa kwa shida hivi???
 
Poleni Wa-Tanzania, hebu hesabuni hii ni pole ya ngapi kwa matokeo mabaya ya timu ya taifa ya Tanzania?
 
simba imefungwa 2-0 na chelsea.


dah... Umefikiria nini kaka, hata mimi nilitoa utani kama huo baada ya mechi kumb tulitania hivo wengi. Its a joke jameni. Thats gud. Am sur mbinu za chelsea dhidi ya bayern kwenye fainal za uefa zilichagiza sana drogba na kalou kutujeruhi
 
Back
Top Bottom