cuba iltujengea shule kama nne hivi. moja wapo ni Ruvu secondary, pia madaktari wetu wengi walisomea cuba,Sio hili tu kumbuka vita vya kagera jinsi uhusika wa cuba ulivyokua labda kama wewe bado mdogo si rahisi kujua.
Basi ndg Fanya utafiti utajua jambo. Tulikua na makamanda wetu wengi wa vita waliopitia Cuba. Hata wengine walikua wanao rusha ndege za vita walisomea Cuba. Je una kumbuka kombora moja linaloitwa Stella? Kwa Mara ya kwanza tulilipata cubaMimi siyo.mdogo sana. Nakumbuka Cuba walijenga shule mbili tu ile ya Ruvu na nyingine huko Rufiji/ Ikwiriri. Vita vya Kagera Cuba hawakuwemo. Tz ilisaidiwa na Algeria. Madaktari walisomeshwa Cuba lakini siyo wengi sana kama watu wanavyokuza. Enzi zile scholarship nyingi zilikuwa za kwenda E. Germany, Romania, Bulgaria, Russia, UK, na Scandinavia
hauko serious ndugu watu wanafanya research kubwa za kisayansi ikiwamo ya HIV nakupata cure kwa watoto kuzaliwa na mama mwenye maambukizi mtoto anatoka salama
Hiki sio kitu kipya toka zamani sana watoto wenye mama walioathirika wanazaliwa salama. Cuba ilikua zamani sio miaka ya leo, leo Cuba ni choka mbaya sisi ndiyo inabidi tuwasaidie kurudisha fadhira. Internet tu ambayo karibu kila mtanzania hata yule wa kule Ombokoro anapata Havanna Cuba bado ni msamiati.
Hiki sio kitu kipya toka zamani sana watoto wenye mama walioathirika wanazaliwa salama. Cuba ilikua zamani sio miaka ya leo, leo Cuba ni choka mbaya sisi ndiyo inabidi tuwasaidie kurudisha fadhira. Internet tu ambayo karibu kila mtanzania hata yule wa kule Ombokoro anapata Havanna Cuba bado ni msamiati.
Ni ngumu kidogo kuona mchango wa CUBA kama hukubahatika kuishi nyakati fulani za nyumaMiaka ya 60 na 70 Cuba iliisaidia nini Tanzania?
Hivi mshawahi kujiuliza kwa nini serikali yetu haijali sana umuhimu wa Cuba?
Hana nazungumzia hakuna ushirikiano wa karibu zaidi kwenye sekta mbali mbali kama Ulinzi na Usalama, Biashara na Uchumi, Sanaa na Utamaduni
Wanafunzi wetu wachache sana wako kule na nimejaribu kutazama data kuona jinsi gani tunavyonufaika na mahusiano ya karibu na Cuba lakini hakuna kitu japo wa Vuna walitusaidia sana miaka ya 60 na 70 lakini mwishowe tukajikita kwenye ufisadi wao waliendelea kujenga nchi yao
Hii inanifanya ni conclude kuwa hatujali labda mheshimiwa Magufuli anaweza kubadili mambo
hayo yote nisababu ya usa sunction lakini kipimo cha maendeleo tunapima kwa mambo mengi ikiwemo idadi ya wanazuoni,huduma za kijamii kama afya kama cuba kati ya mama 100000 wanaojifungua kwa mwaka 16 ndo wanaweza kuzaa watoto wenye maambukizi vipi hapa kwetu idadi ya wamama wangapi wanajifungua salama na vifo vinavyotoka na ujauzito au wakati wakujifungua ikoje tu kicompare na cuba ya leo tunao wazidi internet accessHiki sio kitu kipya toka zamani sana watoto wenye mama walioathirika wanazaliwa salama. Cuba ilikua zamani sio miaka ya leo, leo Cuba ni choka mbaya sisi ndiyo inabidi tuwasaidie kurudisha fadhira. Internet tu ambayo karibu kila mtanzania hata yule wa kule Ombokoro anapata Havanna Cuba bado ni msamiati.
Ni ngumu kidogo kuona mchango wa CUBA kama hukubahatika kuishi nyakati fulani za nyuma
CUBA wana alama nchini. Ukipita daraja la Ruvu ile shule ya Ruvu ilijengwa nao
Ukienda Kilosa, ile sekondari walijenga Cuba.
Ukipita Ifikara unakwenda Mlimba ile shule ni ya Wacuba
Ukienda Ikwiriri na Utete kale kamji ka Kibiti ili shule imejengwa na JKT kama mfano wa kufuzu mafunzo waliyopata kutoka Ruvu, Kilosa na Ifakara
Kuna nyakati tulikwama Cuba walitusaidia sana eneo la sukari na dawa
Walijenga miundo mbinu ya taasisi moja nyeti
Walitusaidia katika utaalam hasa madaktari wakati tukiwa hatuna
Walisimama na nchi za Afrika katika kupinga ubaguzi
Hivyo walikuwa nasi kiroho na kimatendo na ni rafiki wa kweli
Katika nchi zenye ushawishi Tz ilikuwa nao kwa vikwazo. Mara ya mwisho JK akiwa UN alizungumzia sana hili na Cuba walitegemea sana ushawishi wetu
Hizo ni nyakati tulizokuwa na ushawishi katika uso wa duni licha ya umasikini
Msiba wa Castrol ulivyopokelewa hapa nchini, mhh kwa maoni yangu haukupewa uzito na pengine ushindi wa Trump ulipokewa vema zaidi
Kama hujui uliza, msiropokwe tu.Hiki sio kitu kipya toka zamani sana watoto wenye mama walioathirika wanazaliwa salama. Cuba ilikua zamani sio miaka ya leo, leo Cuba ni choka mbaya sisi ndiyo inabidi tuwasaidie kurudisha fadhira. Internet tu ambayo karibu kila mtanzania hata yule wa kule Ombokoro anapata Havanna Cuba bado ni msamiati.