Superhuman 1995
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 1,506
- 2,453
Siku nzuri imekaribia
Tanzania ya watanzania iko karibu,
Hakutakuwa na dhuruma na uchawa Tena wala ufisadi wa kutisha, Tanzania ya haki na ya wazalendo wa kweli iko njiani,
Ole wake wachafu au walioshiriki katika dhuruma wakati sio wao sasa,heri sasa waponye nafsi zao kwa kukimbia nchi, maana mambo Hayako upande wao