Akili Unazo!
JF-Expert Member
- Feb 18, 2009
- 3,930
- 4,893
Leo nimesikitisha na tabia mabayo nilitegemea imekoma/kwisha kabisa baada ya shilika la Reli kubinafsishwa wakati nipokuwa nimeenda kukata ticket kwenda mikoani.
mara tu niliporejea na kufika kaunta nikamwambia mhudumu kuwa nimekuja kufanya booking ya usafari wa ijumaa yaani tarehe 17/07/2009.Mara yule mhudumu akaniambia kuwa hakuna nafasi basi ikbidi nimuulize sasa utanisaidiaje kwa kuwa ni mdogo wangu anaenda shule aliposikia kuwa ni mwanafunzi akaniambia kuwa leta hela ya nauli nikampa na akanipa tiketi.
Dukuduku langu kuwa hakuna kumhudumia mtu mpaka umzungushe ili umuweke kwenye mazingira ya kutoa chochote?