Sayansi ina maana gani kama hakuna mawazo mapya?, wenzetu walioendelea tunaona wakifanya ugunduzi wa mambo mapya na makubwa kila siku. Sisi tunakazania kumaliza sylabus tu. Hakuna application ya tunachofundisha kwenye maisha halisi.mwalimu wa sayans anafundisha nn au mkuu ulitaka wafundishe vitu nje ya sillabusi
We nawe hujitambui wanafundisha kwa kutumia mitaala ambayo ndiyo miongozo yao.We ulitaka wafanye nini?Nimekuwa kwenye tasnia hii ya elimu kwa takribani miaka 11 sasa. Katika kipindi chote nimeweza kuwakwenye taasisi saba za elimu katika ngazi mbalimbali. Kwenye taasisi zote kumekuwa na walimu wanaojinasibisha kuwa wanafundisha sayansi, ila tukirudi kwenye uhalisia ni kuwa hawafundishi sayansi bali wanafundisha HISTORIA YA SAYANSI.....
gooooodWe nawe hujitambui wanafundisha kwa kutumia mitaala ambayo ndiyo miongozo yao.We ulitaka wafanye nini?
Mtoa mada mada kaongea ukweli ambao wengi hatutaki kuusikia. Ila tujiulize ni discovery gani imefanyika ndani ya nchi hii ambayo imetokana na the so called Science. Wengi wanaofanya innovation ndani ya nchi hii unakuta ni wale wasiopitia formal education. Wengine wenye PHD za masomo ya science wanaishia kuringia kwa kutembea na vyeti vyao. Wengine wanasemekana wamegundua matumizi ya maganda ya korosho lakini hadi sasa hakuna economic output yoyote inayoonekana kutokana na huo ugunduzi wao.We nawe hujitambui wanafundisha kwa kutumia mitaala ambayo ndiyo miongozo yao.We ulitaka wafanye nini?
Watu hadi toothpicks tunaagiza kutoka nje ya nchi afu tunajidai kuna wanasayansi ndani ya nchi hii.Mkuu TE="cephalocaudo, post: 20506231, member: 383599"]Mtoa mada mada kaongea ukweli ambao wengi hatutaki kuusikia. Ila tujiulize ni discovery gani imefanyika ndani ya nchi hii ambayo imetokana na the so called Science. Wengi wanaofanya innovation ndani ya nchii unakuta ni wale wasiopitia formal education ambayo wanaringia kwa kutembea vyeti vyao. Wengine wanasemekana wamegundua matumizi ya maganda ya korosho lakini hadi sasa hakuna economic output yoyote inayoonekana kutokana na huo ugunduzi wao.
Watu hadi toothpicks tunaagiza kutoka nje ya nchi afu tunajidai kuna wanasayansi ndani ya nchi hii.[/QUOTE]Mkuu ninashukuru umeelewa ujumbe wangu. Tatizo ni kuwa watu wengi wanapenda habari za kufurahisha tu. Kwa miaka mingi tu tumekuwa tukiona watu wengi wanaojiita wanasayansi ila hatuoni kazi zao. Mwishoni wanakimbilia siasa. Pia tumekuwa tukiwaaminisha watoto wetu kuwa ssyansi ni bora ila hatuna mifano hai hapa nchini.
Tena wanajiita engineers............kijiko kinatoka.China acha tu mkuu.[/QUOTE]Watu hadi toothpicks tunaagiza kutoka nje ya nchi afu tunajidai kuna wanasayansi ndani ya nchi hii.
tulia usipanic..hivi wana sanaa huwa tunasoma nini vile...nazani tunasoma vitu kama vile fasihi...sarufi...semantiki..nk...swali je ktk fasihi umeeandka kitabu au kutunga wimbo wowote? kama jibu ni hapana basi waaache wanasayansi wetuNimekuwa kwenye tasnia hii ya elimu kwa takribani miaka 11 sasa. Katika kipindi chote nimeweza kuwakwenye taasisi saba za elimu katika ngazi mbalimbali. Kwenye taasisi zote kumekuwa na walimu wanaojinasibisha kuwa wanafundisha sayansi, ila tukirudi kwenye uhalisia ni kuwa hawafundishi sayansi bali wanafundisha HISTORIA YA SAYANSI.....
Tunakazana kukariri maandishi, formulae + + + yani ni upupu m2p !!!! hata mwenye masters au PhD ya sayansi maranyiiiiiingi, ni chenga ktk uhalisia Wa maisha au sayansi ya kisasaSayansi ina maana gani kama hakuna mawazo mapya?, wenzetu walioendelea tunaona wakifanya ugunduzi wa mambo mapya na makubwa kila siku. Sisi tunakazania kumaliza sylabus tu. Hakuna application ya tunachofundisha kwenye maisha halisi.