Kwa kifupi ni kwamba hata wao hawajui matumizi sahihi ya hizo tozo.Ni jambo la kushangaza sana eti tozo tulizobakiziwa ni kwa sababu ya ujenzi wa miradi ya kimkakati! Kwamba miradi hii inayokaridiriwa kugharimu zaidi ya trilion 30 yote inapaswa kukamilishwa kwa fedha za tozo.
Mwigulu anapaswa kuambiwa kuwa Tanzania ipo milele haifi leo wala kesho hivyo ujenzi wake utaendelea milele. Walijenga wahenga wetu na sisi tunaendelea pale walipoishia na wanaokuja wataendeleza pale tutakapoishia.
Hata ndani ya familia kama hawana rasilimali za kutosha maendeleo huenda kwa hatua, watajenga nyumba, baadaye watanunua gari nk. Hawatekelezi vyote wanavyohitaji kwa pamoja kwa kujinyima mahitaji ya msingi kama chakula, mavazi, elimu kwa watoto, matibabu nk.
Kwa hiyo Mwigulu aelezwe hata Rome haikujengwa kwa siku moja, hali kadhalika kwa Tanzania Nyerere alifanya sehemu yake, Mwinyi pia, wakafuata Mkapa, Kikwete na hatimaye Magufuli. Samia pia atafanya yake.
Tusiumizane bila sababu ya msingi. Mwigulu yeye haoni shida kwa sababu ni mnufaika wa tozo. Mwigulu hapati uchungu wo wote kwa sababu analamba asali, anakula kwa urefu wa kamba aliyofungwa na Samia! Mwigulu akumbushwe kuwa wengine tozo zinagharimu mlo wa siku! Mwanafunzi wa chuo akitoa laki moja gharama ya tozo ni mlo wa siku moja!
Hivi hii miradi imeanza Baada ya yeye kupewa hiyo nafasi? Mbona hakuwepo hapo awamu ilipita??Ni jambo la kushangaza sana eti tozo tulizobakiziwa ni kwa sababu ya ujenzi wa miradi ya kimkakati! Kwamba miradi hii inayokaridiriwa kugharimu zaidi ya trilion 30 yote inapaswa kukamilishwa kwa fedha za tozo.
Mwigulu anapaswa kuambiwa kuwa Tanzania ipo milele haifi leo wala kesho hivyo ujenzi wake utaendelea milele. Walijenga wahenga wetu na sisi tunaendelea pale walipoishia na wanaokuja wataendeleza pale tutakapoishia.
Hata ndani ya familia kama hawana rasilimali za kutosha maendeleo huenda kwa hatua, watajenga nyumba, baadaye watanunua gari nk. Hawatekelezi vyote wanavyohitaji kwa pamoja kwa kujinyima mahitaji ya msingi kama chakula, mavazi, elimu kwa watoto, matibabu nk.
Kwa hiyo Mwigulu aelezwe hata Rome haikujengwa kwa siku moja, hali kadhalika kwa Tanzania Nyerere alifanya sehemu yake, Mwinyi pia, wakafuata Mkapa, Kikwete na hatimaye Magufuli. Samia pia atafanya yake.
Tusiumizane bila sababu ya msingi. Mwigulu yeye haoni shida kwa sababu ni mnufaika wa tozo. Mwigulu hapati uchungu wo wote kwa sababu analamba asali, anakula kwa urefu wa kamba aliyofungwa na Samia! Mwigulu akumbushwe kuwa wengine tozo zinagharimu mlo wa siku! Mwanafunzi wa chuo akitoa laki moja gharama ya tozo ni mlo wa siku moja!
Kuna kitu hakiko sawa hapa; huenda wananchi tunatozwa zaidi ya mara moja katika baadhi ya miradi. Kwamba kuna miradi ambayo inajengwa kwa fedha za mikopo kutoka ndani na nje ya nchi, mikopo ambayo sisi wananchi tutalipa na wakati huo huo tunatozwa kwa miradi hiyo hiyo na pia kodi za TRA inaigharimia!Kwa kifupi ni kwamba hata wao hawajui matumizi sahihi ya hizo tozo.
Na ndio maana mwanzoni alisema zitajenga miundombinu kama barabara, baadae akasema zinajenga zahanati, madarasa na vyoo vya shule. Na kwamba zitasaidia kuongeza mzunguko wa fedha kwenye jamii.
Leo hii anasema ni kwa ajili ya miradi ya kimkakati! Na kwamba ni maoni ya wananchi!
Je, mikopo? Ufadhili? Uwekezaji? Ukodishaji wa visiwa na mbuga? Royal tour? Utalii? Zinafanya matumizi gani? Au ndio hizo zinatumika kwenye misafara na ziara za viongozi ndani na nje ya nchi?
Kuna kitu hapa kinatengenezwa sema tu aliyewapa wazo la hili 'deal' la tozo, hakuwapa mbinu za namna ya kukabiliana na upinzani toka kwa wananchi! Tozo ni wizi!
Mfia dini, mwigulu sio ndugu yetu katika Imani?Mwigulu na asikie.
Wamefikia mwisho wa uwezo wao wa kufikiri. Sioni kiongozi mwenye maono mapya kwa maendeleo ya nchi ndani ya ccm kwa sasa.Tuna viongozi wa ajabu sana ambao wengine akili na mawazo yao yanaishia usawa wa pua zao!
Jpm aliwabana vigogo wasifuje fedha za umma na wawekezaji na wafanya biashara aliwabana kulipa kodi na kutotorosha madini. Kwa hivyo akaweza kuendesha miradi mingi ya kufaidisha umma kwa fedha za ndani.Ni jambo la kushangaza sana eti tozo tulizobakiziwa ni kwa sababu ya ujenzi wa miradi ya kimkakati! Kwamba miradi hii inayokaridiriwa kugharimu zaidi ya trilion 30 yote inapaswa kukamilishwa kwa fedha za tozo.
Mwigulu anapaswa kuambiwa kuwa Tanzania ipo milele haifi leo wala kesho hivyo ujenzi wake utaendelea milele. Walijenga wahenga wetu na sisi tunaendelea pale walipoishia na wanaokuja wataendeleza pale tutakapoishia.
Hata ndani ya familia kama hawana rasilimali za kutosha maendeleo huenda kwa hatua, watajenga nyumba, baadaye watanunua gari nk. Hawatekelezi vyote wanavyohitaji kwa pamoja kwa kujinyima mahitaji ya msingi kama chakula, mavazi, elimu kwa watoto, matibabu nk.
Kwa hiyo Mwigulu aelezwe hata Rome haikujengwa kwa siku moja, hali kadhalika kwa Tanzania Nyerere alifanya sehemu yake, Mwinyi pia, wakafuata Mkapa, Kikwete na hatimaye Magufuli. Samia pia atafanya yake.
Tusiumizane bila sababu ya msingi. Mwigulu yeye haoni shida kwa sababu ni mnufaika wa tozo. Mwigulu hapati uchungu wo wote kwa sababu analamba asali, anakula kwa urefu wa kamba aliyofungwa na Samia! Mwigulu akumbushwe kuwa wengine tozo zinagharimu mlo wa siku! Mwanafunzi wa chuo akitoa laki moja gharama ya tozo ni mlo wa siku moja!
Tatizo la utawala huu ni kuwaruhusu mawaziri kula kwa urefu wa kamba walizofungwa kwa hiyo kila mwenye kitengo anatafuta wapi ilipoishia kamba aliyofungwa!Jpm aliwabana vigogo wasifuje fedha za umma na wawekezaji na wafanya biashara aliwabana kulipa kodi na kutotorosha madini. Kwa hivyo akaweza kuendesha miradi mingi ya kufaidisha umma kwa fedha za ndani.
Hawa wezi wa samia wanataka kufuja hela za umma na kuwalinda wawekezaji na wafanya biashara wanaowapa rushwa.
Badala yake miradi ya magufuli inawadai kwani isipokamilika watapotea kisiasa. Kwa hivyo chaguo lao limebakia kuwanyonga wavuja jasho kwa kodi zisizokua na msingi.
Wapo, tatizo ni mfumo mbaya wa KATIBA, haiwap, bt viongozi wapo.Wamefikia mwisho wa uwezo wao wa kufikiri. Sioni kiongozi mwenye maono mapya kwa maendeleo ya nchi ndani ya ccm kwa sasa.
Huyu mama alituonyesha wazi ni kiongozi wa aina gani alipowaruhusu vigogo wake kila mmoja ale kwa urefu wa kamba yake. Hatumsingizii ilikua live tbc. Alianza kwa kuwauliza baraza la mawaziri wake kama kila mmoja hali kwenye eneo lake kisha ndio akawaelekeza kila mmoja ale kwa urefu wa kamba yake.Tatizo la utawala huu ni kuwaruhusu mawaziri kula kwa urefu wa kamba walizofungwa kwa hiyo kila mwenye kitengo anatafuta wapi ilipoishia kamba aliyofungwa!