Mmiliki wa Fountain Gates ni mwekezaji mwenye tija sana nchini. Amewekeza sana kwenye michezo! Na pia shule zake, hasa za Mkoani Dodoma zinafanya vizuri.
Wachezaji wa Tanzania wanacheza sana mpira wakiwa wadogo lakini kuna umri wakifika wanapotea kuna lile kombe la dunia la watoto wa mitaani Tanzania tushabeba mpaka basi ila ukimuuliza karia wale watoto wako wapi hawezi kukujibu na atakufungia.