Msema hovyo
Senior Member
- Jul 3, 2011
- 195
- 86
Haha!! imekuuma?Wewe kweli msema hovyo! Mimi napita mkuu
hizo watagawana wanaozitaka. Tunauza tangible products tu.mkuu na political parties unauza?
Duh, aisee sijawahi kuisikia hiyo. Ningemskia ningeomba anisaidie kufanya mnadaLakini yule mwanamuziki kwa jina Mmasai alishawahi kuimba akasema nchii hii bora iuzwe kila mtu achukue chake akatafute pa kuishi. Mmasai aliona mbali sana.
Hehehee, inauzwa nchi pamoja na watu wake? Kwa hiyo mimi ninabaki ndani ya nchi yenye watawala wapya, watakaotusaidia kufaidi asali na maziwa ya nchi yetuBaada ya hapo na wewe unaenda wapi unaondoka nao au vipi
hahahaa, basi naona kimojakimoja kishaanza kupata mteja. Lakini afadhari tu tuwe na urais wa kuwekeza kuliko rais wa kuchagua halafu anakuwa mzigo kwa watanzania.Tusha uzwa longtime na mgao kwa wa TZ uanaendelea mzunguko wa kwanza ulisha pita kwa wa TZ wote ambao ulikuwa NETI kama hukupata subiri mzunguko wa pili ambao utakuwa wa mwisho cjui tutapewa nn!!!???