Nairoberry
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 935
- 528
kwa hiyo unamaanisha witchcraft inachangia kwa uchumi wa tanzania yaani kwa GDPNairoberry, inaelekea demand huko Kenya ni kubwa sana, hata wakati wa Babu wa Loliondo mabasi toka Kenya yalikuwa mengi kweli :welcome:
kwa hiyo unamaanisha witchcraft inachangia kwa uchumi wa tanzania yaani kwa GDP
i think its contributes, tell me do you have any relative involved in the witchcraft industry of tanzania??:biggrin:What do you think?
kwa hiyo unamaanisha witchcraft inachangia kwa uchumi wa tanzania yaani kwa GDP
maajabu,hapa tunaongelea uchawi yaani mchawi nadhani kuna tofauti ya mganga na mchawi,hivyo basi unamaanisha unaamini uchawi,manake mimi binafsi kwangu wachawi wote ni matapeli na siamini kwa uchawikenya ukianzia na nairobbery kila sehemu sehemu kuna bango la waganga wa kienyej toka tanzania,na wanawaamin waganga toka tz,sababu waganga wengi wa kenya ni wakora,yan wezi na matapeli
maajabu,hapa tunaongelea uchawi yaani mchawi nadhani kuna tofauti ya mganga na mchawi,hivyo basi unamaanisha unaamini uchawi,manake mimi binafsi kwangu wachawi wote ni matapeli na siamini kwa uchawi
umenoa kakangu, unajua shida ya tanzania ni kuwa watu wanajua kuongea kiswahili tu lakini hawakifahamu vizuri kwa dhati. mfano wakenya wanawashinda watz kwa kuandika na kuchambua kiswahili,lakini kuongea wabongo wanaongoza. mganga ni kama daktari lakini mchawi ni witch kwa kizungu. kuna tofauti kubwa. mbona ukienda hospitalini au zahanati hujawahi ona wameandika kwa milango zao mchawi?badala wanaandika mganga yaani doctorwachawi na waganga wote ni kitu kimoja,ujawai sikia mtu ameenda kwa mganga kumroga mtu fulani,wote ni kundi moja tofaut ni kuwa mganga yuko kibiashara zaidi,lakin wote wachawi tu
umenoa kakangu, unajua shida ya tanzania ni kuwa watu wanajua kuongea kiswahili tu lakini hawakifahamu vizuri kwa dhati. mfano wakenya wanawashinda watz kwa kuandika na kuchambua kiswahili,lakini kuongea wabongo wanaongoza. mganga ni kama daktari lakini mchawi ni witch kwa kizungu. kuna tofauti kubwa. mbona ukienda hospitalini au zahanati hujawahi ona wameandika kwa milango zao mchawi?badala wanaandika mganga yaani doctor
[/h]Je wengine hawawezi wenyewe ???[h=2]Tanzania exporting witchcraft to neighboring states
There was drama when five men from Tseikuru location in Tharaka Nithi County lost consciousness on Friday evening after partaking a concoction prepared by two witchdoctors from Pemba in Tanzania.
The five men were among many people who had turned out to witness the 'miracles' that were being performed by the two witchdoctors.
According to Henry Muthengi, an eye witness, the two witchdoctors came all the way from Pemba Island in Tanzania following an invitation from one of the villagers who had lost his son.
He explained he had invited the witchdoctors to intervene after the search for his son had proved futile.
Upon arrival in Tseikuru, the witch doctors went to a market place where they gathered the people around.
They proceeded to prepare a concoction which Mr Muthengi says looked, in appearance and taste, like it was made from tobacco.
The witchdoctors then administered the concoction to the people who gathered around, assuring them that it would not have any effect on them if they were sure that they did not know the whereabouts of the lost son.
The first five men to take the concoction collapsed immediately, scaring those present.
Out of fear, the bystanders dispersed and, surprisingly, even the two witchdoctors took to their heels leaving the unconscious men alone.
It was after the disappearance of the witchdoctors that the residents alerted the police and the two were later arrested in Kyuso trying to
escape. They were then forced to attend to the five men who had collapsed.
The five men were then taken to hospital by the police.
5 hospitalised in witchcraft drama - Counties - nation.co.ke
kweli kabisa kaka 😛oawewe unazungumzia mganga wa hospital,pia kuna mganga wa kienyeji hao ni watu tofaut,mganga wa hospital anatibu kwa kutumia dawa ambazo zimezibitishwa na anasomea tofaut na waganga ambao uwa wanalisi kutoka kwa babu zao,
pia kwenye mganga wa kienyej wapo wa aina mbili,waganga wanaotumia dawa za mitishamba na uwa wazuri tu,pia kuna wanaotumia tunguri,hao sasa wakat mwingine sio wazuri,wako tayari kuzuru mtu kulingana na shida ya mteja.
kuhusu kiswahili kenya wanatuzid sana kwa kuwa wanazalisha wataalamu wengi wa lugha ya kiswahili.wametuzid kama 70% kwa kutoa wataalam wengi wa kiswahili,maombi yakitumwa kuitaj watalaam wa kiswahili kufundisha nje,kenya wanachangamkia hizo nafasi,wakati tanzania tumelala
i think its contributes, tell me do you have any relative involved in the witchcraft industry of tanzania??:biggrin: