Tanzania excluded from EAC joint communique

Tanzania kwanza mengine baadaye! Sisi tunajimudu na isitoshe tupo pia SADC kwa hiyo acha wajitenge hawatutishi! Tanzania itabaki na msimamo wake wa kutokuharakisha Federation kwani halina umuhimu wowote kwa sasa!
 
unajua kwanza kabisa sie wenyewe EAC hatuwahitaji kama wanavyodhani waliowengi ila sema tu wengi wetu ni waoga tunadhani tukiwa pamoja ndio tutapiga hatua kiuchumi kumbe sio kweli..sisi wenyewe nchi yetu nikubwa sana tunaweza kufanya biashara ndani ya tanzania nchi yetu nikubwa sana, hata population yetu nikubwa mnoo tunaweza kufanyiana biashara wenyewe .na nchi ikaendelea huwezi kufanya biashara na nchi masikini kama wewe wakati soko la ndani halipo,asilimia kubwa ya wabongo ni masikini sana ,sasa biashara gani tutafanyiana sisi na nchi jirani kama unavyofikiria ,kwa sababu tuna products za aina moja unamuuzia nani chumvi wakati kwake ipo? utapata hasara,tuwawezeshe wanachi walio wengi kipato chao kwanza wawe na uwezo mkubwa hata wa kwenda kuwekeza huko sasa,sio wako wa kenya watuleetee ma-settler waje kuchukua ardhi yote na usimamizi wa serikali ulivyo mbovu hatutofaidika na chochote,mwenyeweji awezeshwe kwanza vizazi vijavyo vitaliangalia hili.hiv vipofu wanaweza kuongozana kweli? tuwaache kwanza tuendele kuijenga nchi kwanza kwa muda flani.
 
Kama Taifa tukakope kokote kule tupanue badari ya Mtwara... Tujenge reli na bomba la mafuta kutoka Mtwara hadi Mbeya tuhudumie Zambaia, Malawi na DRC....
 
Only SADC make sense to us the rest hakuna kitu!!!!
 
kama miaka hamsini imepita bado ni maskini unadhani upo muda tena wa kujijenga wewe peke yako kama unavyodhani? acha kuota ndoto za mchana wewe! ardhi peke yake pasi akili na mbinu za kuitumia ni sawa na sifuri tu! acha kufikiria kwa mtizamo wa kufanya biashara ya genge! lugha ya sasa ni ushirikiano kiuchumi kujenga nguvu pamoja ili kukabiliana na wengine waliotutangulia kwa maendeleo, sis peke yetu au kenya peke yao hawawezi kitu, na tukikubali mawazo mufilisi kama yako, nakuhakikishia nchi hii itarudi enzi za utumwa!
 
tuna rasilimali lakini mafisadi mpka waihodhi kwanza rais wetu yuko bize huenda nje ya nchi na katiba mpya
 
Bonge la opportunity kwa Tanzania... Tufurahi sana kwa hili
 
Only SADC make sense to us the rest hakuna kitu!!!!
what do you get or contribute to SADC? unajifariji kimaskini..!tuondikane na fikra za jinsi hii, we have to solve our internal problems quickly and march with our neighbours to capture our deserved position in this region. we are a regional giant!
 
Just like that? Kwa ile statement ya JK tu kuhusu M23? Labda kulikuwa na mengine tusoyajua.
nafikiri its now an appropriate time kwa waziri wentu wa mambo ya nje, na waziri wa EA kusema jambo juu ya nchi yetu na hali ya kisiasa na ushirikiano EA. SO FAR KAMA VIPI BASI TUAMBIWE UKWELI TUAMUE PAKUJIUNGA KWANI BILA EAC HATUWEZ KUISH?
 
Marehemu hafi na wala hauwawi. Kifo ni mara moja kisha hukumu huonyesha marehemu ndiye mwenye makosa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ