Tanzania Economic Outlook

jingalao

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Messages
26,962
Likes
17,721
Points
280
jingalao

jingalao

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2011
26,962 17,721 280
Recently released data shows GDP jumped 7.8% in annual terms in Q2, picking up from Q1’s 5.7%. Growth came on the back of robust expansions in the transport and storing, mining and quarrying, manufacturing and construction sectors. On the other hand, both financing and public administration activity continued to decline, the latter due to the government’s downsizing of the public sector and firing of fraudulent “ghost workers”. Stronger production of tanzanite and diamonds was behind the all-important mining sector’s expansion, which nevertheless eased from the previous quarter. The government’s crackdown on the sector that began in July has started to take its toll; the share prices of many international firms operating in Tanzania suffered substantial falls, prompting mining firms to reduce exploration activities and staff.
Tanzania Economy Data

2012 2013 2014 2015 2016
Population (million) 44.9 45.8 46.7 47.7 48.6
GDP per capita (USD) 862 957 1,021 916 976
GDP (USD bn) 38.7 43.9 47.7 43.7 47.5
Economic Growth (GDP, annual variation in %) 5.1 7.3 6.8 7.0 7.0
Consumption (annual variation in %) 3.1 8.4 4.5 2.3 -
Investment (annual variation in %) 1.0 4.4 7.0 11.5 -
Fiscal Balance (% of GDP) -4.1 -3.9 -3.0 -3.3 -3.8
Public Debt (% of GDP) 29.2 30.9 33.8 36.9 39.0
Money (annual variation in %) 12.5 10.0 15.6 4.7 -
Inflation Rate (CPI, annual variation in %, eop) 12.1 5.6 4.8 6.8 5.0
Inflation Rate (CPI, annual variation in %) 16.0 7.9 6.1 5.6 5.2
Policy Interest Rate (%) 15.46 15.83 16.26 16.10 15.96
Exchange Rate (vs USD) 1,585 1,587 1,733 2,160 2,181
Exchange Rate (vs USD, aop) - - - - -
Current Account (% of GDP) -9.7 -11.3 -11.2 -9.1 -4.5
Current Account Balance (USD bn) -3.8 -5.0 -5.3 -4.0 -2.1
Trade Balance (USD billion) -4.4 -5.8 -5.7 -4.1 -2.9
Exports (USD billion) 5.9 5.3 5.2 5.7 5.7
Imports (USD billion) 10.3 11.0 10.9 9.8 8.6
Exports (annual variation in %) 15.5 -10.7 -1.2 9.9 -0.3
Imports (annual variation in %) 5.0 6.9 -1.0 -9.8 -12.3
International Reserves (USD) 4.1 4.6 4.5 4.1 4.3
External Debt (% of GDP) 29.9 29.9 30.1 34.5

Tanzania Economy - GDP, Inflation, CPI and Interest Rate

My Take:Serikali haina haja ya kuficha data au kujikweza.data zinaweza kupatikana kiurahisi kabisa.
Tuache siasa za majitaka.
 
jingalao

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Messages
26,962
Likes
17,721
Points
280
jingalao

jingalao

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2011
26,962 17,721 280
CC: Zitto
 
Bhikalamba

Bhikalamba

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2015
Messages
496
Likes
464
Points
80
Bhikalamba

Bhikalamba

JF-Expert Member
Joined Dec 6, 2015
496 464 80

Wapiga vigelegele wa Lumumba hawawezi kuzitafsiri hizo namba
Cc. stroke, lizabone, cocochannel, kipara original etc
 
Upepo wa Pesa

Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2015
Messages
11,750
Likes
14,153
Points
280
Upepo wa Pesa

Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Joined Aug 8, 2015
11,750 14,153 280
Hizi ni data za kupikwa. Eti uchumi unapanda unapanda kwenda lumumba au?? Pathetic
 
darcity

darcity

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2009
Messages
4,112
Likes
5,847
Points
280
darcity

darcity

JF-Expert Member
Joined Jul 20, 2009
4,112 5,847 280
Sijawahi kuamini kinachosemwa na Sizonje pamoja na wateuzi wake. Wanaona wananchi kama watoto vile kiasi wamekosa credibility kwa wanayotamka na wanayotenda.
 
Upepo wa Pesa

Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2015
Messages
11,750
Likes
14,153
Points
280
Upepo wa Pesa

Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Joined Aug 8, 2015
11,750 14,153 280
Sijawahi kuamini kinachosemwa na Sizonje pamoja na wateuzi wake. Wanaona wananchi kama watoto vile kiasi wamekosa credibility kwa wanayotamka na wanayotenda.
Tuna rais muongo sana, alisema hostel za udsm zilitengenezwa kwa bil. 10 alafu na CAG akaja na bei halisi!! sina imani nae kabisa maana ni muongo!
 
Upepo wa Pesa

Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2015
Messages
11,750
Likes
14,153
Points
280
Upepo wa Pesa

Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Joined Aug 8, 2015
11,750 14,153 280
data zinapikwa na wote?
Siamini chochote anachosema rais!

Kama aliweza kutudanganya kwenye hostel za udsm kwanini nimuamini? kama aliweza kutudanganya kuhusu ajira elfu 50 kwanini nimuamini??

That being said, tuna rais muongo!!
 
M

Mbase1970

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2015
Messages
4,169
Likes
2,761
Points
280
M

Mbase1970

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2015
4,169 2,761 280
Tuna rais muongo sana, alisema hostel za udsm zilitengenezwa kwa bil. 10 alafu na CAG akaja na bei halisi!! sina imani nae kabisa maana ni muongo!
Umeiona hiyo report ama kama ulivyodanganywa huko nyuma kwamba Lowasa nI fission bila kuwa nabuthibitisho na wewe ukawa kama panya waliomfuata mpiga filimbi wa Hamelin????? Kila ukiambiwa na wanasiasa jaribu kutumia ubongo wako hata kama aliyesema ni Lissu maana mwanasiasa yeyote so wa kumwamini.
 
Upepo wa Pesa

Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2015
Messages
11,750
Likes
14,153
Points
280
Upepo wa Pesa

Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Joined Aug 8, 2015
11,750 14,153 280
Umeiona hiyo report ama kama ulivyodanganywa huko nyuma kwamba Lowasa nI fission bila kuwa nabuthibitisho na wewe ukawa kama panya waliomfuata mpiga filimbi wa Hamelin????? Kila ukiambiwa na wanasiasa jaribu kutumia ubongo wako hata kama aliyesema ni Lissu maana mwanasiasa yeyote so wa kumwamini.
Umesoma vizuri nilichoandika au unakilevi kichwani??
 
kipara kipya

kipara kipya

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2016
Messages
5,412
Likes
5,412
Points
280
kipara kipya

kipara kipya

JF-Expert Member
Joined May 2, 2016
5,412 5,412 280
Tuna rais muongo sana, alisema hostel za udsm zilitengenezwa kwa bil. 10 alafu na CAG akaja na bei halisi!! sina imani nae kabisa maana ni muongo!
vipi kuhusu yule bwana aliye kuahidi kumleta balali kama angepata urais maana kabla hajapata ilikua hivi!
 
Forum statistics

Threads 1,237,207
Members 475,501
Posts 29,281,539