Pancras Suday
JF-Expert Member
- Jun 24, 2011
- 8,143
- 3,848
WAZO:
Tanzania Developer Forum
Nimekuwa na wazo la kutengeneza forum kwa ajili ya developer wa Tanzania, lengo la hii forum itakuwa ni kujifunza (learn) kufanya majadiliano (discussion) na kupata rasilimali (resources sharing) kama vile vitabu, source code, video n.k.
Nahitaji programmers au web designer & web developer wa kujitolea wenye experience na vitu vifuatavyo au moja ya vitu vifuatavyo
NB: Utatakiwa kuwa na ujuzi wa kutumia GitHub maana hii itakuwa ni open source project
Kama una swali au ushauri unaweza kuacha comment hapa, pia unaweza kuwasiliana nami +255755300760 (WhatsApp only)

- Laravel framework for PHP
- Vue js framework for javascript
- Bulma framework for CSS
- MySQL for Database