William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,466
- Ninaamini kwamba Zitto ni one of the best politician we have tena kijana, kila siku ninamuombea Mungu amtangulie ili one day aje kwua Rais wa jamhuri hii, kwa sababu anao uwezo na anazo akili nyingi sana, na anao ujasiri, na anaweza kufanya mamuzi magumu.
- Ni mbunge wa Upinzani anayeheshimika sana na pande zote mbili kwa sababu uwezo wake wa kufikiri na kusimamia hoja, again MUNGU AMTANGULIE SIKU MOJA AJE KUA RAIS WA JAMHURI HII!
- Between Zitto, Januari, na Nape hili taifa linatakiwa kuwekeza zaidi kwa hawa vijana, kuliko kupingana nao kila wakti na kutoa mwanya kwa wazee kushika nchi, tizama majuzi wizara zote zilizokuwa na vijana sasa zimeshikwa na wazee!, bado nawakumbuka sana Ngeleja na Maige, good people ingawa ninaamini kwamba only Mahakama sasa iwasafishe!
William.
Unajua toka Zito atangaze kugombea urais kupitia CDM amekua adui wa Mbowe na magazeti yake pamoja na watu wote wa Kaskazini ambao wao mbowe ndiye mgombea sahihi kwa sababu anatoka Moshi.Zito komaa nao tu mpaka waache fitina zao.
Kwa kuwa JMK kawa RAIS wa JMT, Zitto naye anaweza na hata WJM sidhani utaishia kwenye Ubunge tu kama utaupata!- Ninaamini kwamba Zitto ni one of the best politician we have tena kijana, kila siku ninamuombea Mungu amtangulie ili one day aje kwua Rais wa jamhuri hii, kwa sababu anao uwezo na anazo akili nyingi sana, na anao ujasiri, na anaweza kufanya mamuzi magumu.
- Ni mbunge wa Upinzani anayeheshimika sana na pande zote mbili kwa sababu uwezo wake wa kufikiri na kusimamia hoja, again MUNGU AMTANGULIE SIKU MOJA AJE KUA RAIS WA JAMHURI HII!
- Between Zitto, Januari, na Nape hili taifa linatakiwa kuwekeza zaidi kwa hawa vijana, kuliko kupingana nao kila wakti na kutoa mwanya kwa wazee kushika nchi, tizama majuzi wizara zote zilizokuwa na vijana sasa zimeshikwa na wazee!, bado nawakumbuka sana Ngeleja na Maige, good people ingawa ninaamini kwamba only Mahakama sasa iwasafishe!
William.
- Ninaamini kwamba Zitto ni one of the best politician we have tena kijana, kila siku ninamuombea Mungu amtangulie ili one day aje kwua Rais wa jamhuri hii, kwa sababu anao uwezo na anazo akili nyingi sana, na anao ujasiri, na anaweza kufanya mamuzi magumu.
- Ni mbunge wa Upinzani anayeheshimika sana na pande zote mbili kwa sababu uwezo wake wa kufikiri na kusimamia hoja, again MUNGU AMTANGULIE SIKU MOJA AJE KUA RAIS WA JAMHURI HII!
- Between Zitto, Januari, na Nape hili taifa linatakiwa kuwekeza zaidi kwa hawa vijana, kuliko kupingana nao kila wakti na kutoa mwanya kwa wazee kushika nchi, tizama majuzi wizara zote zilizokuwa na vijana sasa zimeshikwa na wazee!, bado nawakumbuka sana Ngeleja na Maige, good people ingawa ninaamini kwamba only Mahakama sasa iwasafishe!
William.
Kuna wakati gazeti la mwanahalisi lilikuwa likiwinda sana nyendo za Zitto na lilikuwa likiripoti kila hatua chini ya ndgu kubenea, ila baadae ikaonekana gazeti la tz daima nalo linajivika hali ya kutofurahia baadhi ya matukio ya Zitto, alipoonekana na jk waliweka picha na maneno yenye kukufanya upate tafasiri mbilimbili, ila kwa hili lenye kichwa cha habari kuwa ni marfiki wa kufa na kufaana, inaathari kubwa sana kwa zitto na ukuzi wake wa kisiasa na kujenga imani kuwa sio mtumiwa wa jk, hasa kwa wasiosoma article wanaishia kusoma vichwa vya habari tu ni hatari kwa ukuzi wa siasa za ndgu zitto, shutuma zote zimwendee mhariri wa gazeti ni kwanini anaweka picha na kichwa cha habari kinachotoa tafasiri mbilimbili, je kama kosa ni kucheka yeye hakumbuki mzee Slaa na uongozi wa chama walitinga ikulu wkateta na kufanya maamuzi ya faida kwa nchi yetu, tafadhali sana naombeni tuwe na busara ya harakati, mhariri awe makini sana na aina yake ya ukamuzizio anaoufanaya
zitto mtu wa watu
Ninaipenda CDM,ninawaamini viongozi wake lkn namna wanavyomkabili mbunge wangu Zitto wananikera!!Why Tanzania Daima and Mwanahalisi always???Not Jambo leo,habari leo or Uhuru???Urafiki wa watu wawili ukifanywa kuwa habari lazima kuwe na hidden agenda(nzuri/mbaya).
- Ninaamini kwamba Zitto ni one of the best politician we have tena kijana, kila siku ninamuombea Mungu amtangulie ili one day aje kwua Rais wa jamhuri hii, kwa sababu anao uwezo na anazo akili nyingi sana, na anao ujasiri, na anaweza kufanya mamuzi magumu.
- Ni mbunge wa Upinzani anayeheshimika sana na pande zote mbili kwa sababu uwezo wake wa kufikiri na kusimamia hoja, again MUNGU AMTANGULIE SIKU MOJA AJE KUA RAIS WA JAMHURI HII!
- Between Zitto, Januari, na Nape hili taifa linatakiwa kuwekeza zaidi kwa hawa vijana, kuliko kupingana nao kila wakti na kutoa mwanya kwa wazee kushika nchi, tizama majuzi wizara zote zilizokuwa na vijana sasa zimeshikwa na wazee!, bado nawakumbuka sana Ngeleja na Maige, good people ingawa ninaamini kwamba only Mahakama sasa iwasafishe!
William.
ZITTO KABWE ni bora CDM na hakuna mwenye kufanana nae sifa mjiandae kumuua kama CHACHAWANGE maana 2015 anakuja kuwa RAIS simmemuarika LOWASA?SISI TUNAMTAKA ZITTO
Hoja zako nyepesi nyepesi sana hasa ukizingatia kuwa wewe ni mmoja wa waanzilishi wa JF. Nakushauri kabla hujaleta mawazo yako hapa peleka kwa Kiranga au Mwanakijiji wafanya uhariri. Hoja zako hazifurahishi hata kidogo kwa kuwa hazisaidii akili katika kutafakari. Ulitakiwa kuonyesha kwa mifano halisi ni kwa kiasi gani Zitto yupo karibu na wenzake wa Chadema ukilinganisha na wale wa CCM. Usilete hoja nyepesi nyepesi zisizo na mashako kiasi hiki.- Ninaamini kwamba Zitto ni one of the best politician we have tena kijana, kila siku ninamuombea Mungu amtangulie ili one day aje kwua Rais wa jamhuri hii, kwa sababu anao uwezo na anazo akili nyingi sana, na anao ujasiri, na anaweza kufanya mamuzi magumu.