Tanzania could strike new uranium deposits

Tanzania could strike new uranium deposits

Ngoja katiba itengeneze adhabu stahiki za kuhujumu uchumi kama za China na mabadiliko ya utawala 2015 ndio faida ya rasilimali hizo zitakapo nufaisha nchi. Kwa hali ya sasa hata mchanga wa pwani yetu yote ugeuke almasi hamna changes yeyote itakayo onekana.
 
Wasije wakasema na Lake Jipe si mali ya Tanzania........

Matokeo ya kutoendeleza wakufunzi kwenye Nuclear Tech ndo tutayaona mda si mrefu.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom