Tanzania bila reli haitaendelea

Tanzania bila reli haitaendelea

365

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2014
Posts
1,377
Reaction score
1,460
Wenzetu Kenya wamekamilisha ujenzi wa reli ya standard gauge,kwa maana hiyo garama za kusafiri na kusafirisha bidhaa zitakua chini na hivyo kukuza Mara moja biashara ndani na nje ya Kenya.

Tanzania ifike mahali tuwe na dhamila ya dhati ya kuleta maendeleo kwa wananchi.

Tuimarishe reli yetu, ya Dar-Pwani-Tanga-Arusha. Then Dar-Pwani-Moro-Dom-Singida-Tabora-Kigoma.Tabora- Shinyanga-Mwanza.

Hiyo reli ikisimamiwa vizuri pengine Tanzania inaweza kuwa tajiri kukiko nchi zote za maziwa makuu na kusini Mwa jangwa la sahara sababu bandari zetu zitakua imara zaidi mazao yetu ya kilimo yataweza kuuzika ndani na nje kwa wepesi mno.

Mungu ibariki Tanzania.
 
Kwa serikali ya CCM hii ni ndoto ya mchana kweupe.
 
Mkuu ingekuwa vizuri ukaweka chanzo cha habari yako.

Ninavyoelewa mimi, ujenzi wa reli ya standard gauge Kenya umegawanywa katika awamu (phases) 2:

Phase 1 - Mombasa / Nairobi. Ujenzi unaendelea

Phase 2 - Nairobi / Malaba / Kisumu. Ujenzi haujaanza ila unategemewa kukamilika 2018.
 
Hata km hawajakamilisha lkn Mwanzo huo unaonyesha dalili nzuri za kimaendeleo kwa wenzetu Wakenya.
 
miaka ya zamani, shirika la reli lilikuwa na ufanisi kuliko sasa

je ni nani ameua trl, atc, na kudumaza bodi za mazao?
 
Hata km hawajakamilisha lkn Mwanzo huo unaonyesha dalili nzuri za kimaendeleo kwa wenzetu Wakenya.

Mtoa mada anadai kuwa ujenzi umekamilika kitu ambacho si kweli. I just wanted to put it right ili wasomaji wengine wapate picha halisi. Tatizo lako hasa kuhusu comment yangu ni nini??!!
 
Sisi matumaini ya reli yaliyeyuka alipoondoka Mwakyembe na kuingia 6 ambaye kwao ndio wanahitaji reli zaidi lakini yeye anahangaika na kubadilisha bodi za wakurugenzi
 
Wenzetu Kenya wamekamilisha ujenzi wa reli ya standard gauge,kwa maana hiyo garama za kusafiri na kusafirisha bidhaa zitakua chini na hivyo kukuza Mara moja biashara ndani na nje ya Kenya.

Tanzania ifike mahali tuwe na dhamila ya dhati ya kuleta maendeleo kwa wananchi.

Tuimarishe reli yetu, ya Dar-Pwani-Tanga-Arusha. Then Dar-Pwani-Moro-Dom-Singida-Tabora-Kigoma.Tabora- Shinyanga-Mwanza.

Hiyo reli ikisimamiwa vizuri pengine Tanzania inaweza kuwa tajiri kukiko nchi zote za maziwa makuu na kusini Mwa jangwa la sahara sababu bandari zetu zitakua imara zaidi mazao yetu ya kilimo yataweza kuuzika ndani na nje kwa wepesi mno.

Mungu ibariki Tanzania.

Wenye magari ya mizigo ndio wauwaji wa treni na ndio wengi wapo serikalini au wana ubia so it will never happen
 
arusha eneo la reli limegeuzwa kua carwash.
mmiliki wa hiyo carwash ndie mgombea wa sisiemu baada ya kumshinda diwami wa mererani justine nyari.
bila kuiondoa sisiemu madarakani reli no ndoto
 
Kina riz 1 wanamiliki scania zaid ya 1000 unataka reli ili wafe njaa

Acha waendelee kutuharibia barabara tu. Yaani barabara zilizodumu miongo kadhaa bila tatizo zimeharibiwa kipindi hiki cha utawala wa huyu mtu.
 
Maendeleo sio reli tu.
Maendeleo ni kila sekta inatakiwa itiliwe mkazo.
 
Wenzetu Kenya wamekamilisha ujenzi wa reli ya standard gauge,kwa maana hiyo garama za kusafiri na kusafirisha bidhaa zitakua chini na hivyo kukuza Mara moja biashara ndani na nje ya Kenya.

Tanzania ifike mahali tuwe na dhamila ya dhati ya kuleta maendeleo kwa wananchi.

Tuimarishe reli yetu, ya Dar-Pwani-Tanga-Arusha. Then Dar-Pwani-Moro-Dom-Singida-Tabora-Kigoma.Tabora- Shinyanga-Mwanza.

Hiyo reli ikisimamiwa vizuri pengine Tanzania inaweza kuwa tajiri kukiko nchi zote za maziwa makuu na kusini Mwa jangwa la sahara sababu bandari zetu zitakua imara zaidi mazao yetu ya kilimo yataweza kuuzika ndani na nje kwa wepesi mno.

Mungu ibariki Tanzania.
Railway Technology Transfer Center launched
11752492_1015626218470094_958199143353787286_n.jpg

CnbbeeE003001_20150701_BNMFN0A003_11n.jpg

11215810_1015627278469988_8469227100884185130_n.jpg

CnbbeeE003001_20150701_BNMFN0A002_11n.jpg

Quote:
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD="class: alt2"]
China Road and Bridge Corporation (CRBC) has launched a Railway Technology Transfer Competence Training Center. The training center established at section two in Voi, Taita Taveta County is a pilot program for the SGR project and more centers are expected to be launched in other campsites.

The initiative is part of the firm's plans to improve the capacity of its Kenyan employees. The Center will be used to equip Kenyans already engaged in the construction of the railway with new skills.

The training center will nurture engineers, surveyors and lab technicians as well as other skilled technicians in various fields in railway technology. The engineers and technicians to be trained at the Center will be among key personnel in the construction of the new railway and will play a key role in subsequent railway construction in the region.The skills acquired will also empower them to play a key role in running the new railway after it's completed.
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Wenzetu Kenya wamekamilisha ujenzi wa reli ya standard gauge,kwa maana hiyo garama za kusafiri na kusafirisha bidhaa zitakua chini na hivyo kukuza Mara moja biashara ndani na nje ya Kenya.

Tanzania ifike mahali tuwe na dhamila ya dhati ya kuleta maendeleo kwa wananchi.

Tuimarishe reli yetu, ya Dar-Pwani-Tanga-Arusha. Then Dar-Pwani-Moro-Dom-Singida-Tabora-Kigoma.Tabora- Shinyanga-Mwanza.

Hiyo reli ikisimamiwa vizuri pengine Tanzania inaweza kuwa tajiri kukiko nchi zote za maziwa makuu na kusini Mwa jangwa la sahara sababu bandari zetu zitakua imara zaidi mazao yetu ya kilimo yataweza kuuzika ndani na nje kwa wepesi mno.

Mungu ibariki Tanzania.
Various SGR Pics 17th - 18th July

tumblr_nrm403x7uL1shd9g9o1_1280.jpg

tumblr_nrm448jxxH1shd9g9o1_1280.jpg

tumblr_nrm6aprHPZ1shd9g9o1_1280.jpg

tumblr_nrnybguS2Q1shd9g9o4_1280.jpg

tumblr_static_44filsw7qkcgsc0oo888000kc.jpg

Wenzetu Kenya wamekamilisha ujenzi wa reli ya standard gauge,kwa maana hiyo garama za kusafiri na kusafirisha bidhaa zitakua chini na hivyo kukuza Mara moja biashara ndani na nje ya Kenya.

Tanzania ifike mahali tuwe na dhamila ya dhati ya kuleta maendeleo kwa wananchi.

Tuimarishe reli yetu, ya Dar-Pwani-Tanga-Arusha. Then Dar-Pwani-Moro-Dom-Singida-Tabora-Kigoma.Tabora- Shinyanga-Mwanza.

Hiyo reli ikisimamiwa vizuri pengine Tanzania inaweza kuwa tajiri kukiko nchi zote za maziwa makuu na kusini Mwa jangwa la sahara sababu bandari zetu zitakua imara zaidi mazao yetu ya kilimo yataweza kuuzika ndani na nje kwa wepesi mno
Mungu ibariki Tanzania.

Various pics of the SGR. 1st - 13th July

CJqzcE5XAAA_t_H.jpg

CJw7SZOUwAEPMMK.jpg

tumblr_nre9v3K8Fh1shd9g9o1_1280.jpg

tumblr_nr9f6sbqtK1shd9g9o1_1280.jpg

tumblr_nr9f6sbqtK1shd9g9o2_1280.jpg

tumblr_nr9f6sbqtK1shd9g9o3_1280.jpg

tumblr_nr9g2inWbg1shd9g9o1_1280.jpg

tumblr_nr9g2inWbg1shd9g9o2_1280.jpg

tumblr_nr9g2inWbg1shd9g9o3_1280.jpg

tumblr_nrean1qpMa1shd9g9o1_1280.jpg

THE OLD MSA KAMPALA RAIL RUNS ALONG THE NEW SGR
 
Wenzetu Kenya wamekamilisha ujenzi wa reli ya standard gauge,kwa maana hiyo garama za kusafiri na kusafirisha bidhaa zitakua chini na hivyo kukuza Mara moja biashara ndani na nje ya Kenya.

Tanzania ifike mahali tuwe na dhamila ya dhati ya kuleta maendeleo kwa wananchi.

Tuimarishe reli yetu, ya Dar-Pwani-Tanga-Arusha. Then Dar-Pwani-Moro-Dom-Singida-Tabora-Kigoma.Tabora- Shinyanga-Mwanza.

Hiyo reli ikisimamiwa vizuri pengine Tanzania inaweza kuwa tajiri kukiko nchi zote za maziwa makuu na kusini Mwa jangwa la sahara sababu bandari zetu zitakua imara zaidi mazao yetu ya kilimo yataweza kuuzika ndani na nje kwa wepesi mno.

Mungu ibariki Tanzania.
10527494_979859122046804_3795288753747241720_n.jpg

11218973_979517735414276_4938712841063129028_n.jpg

This bicycle was invented by William Basil (1974-1963). He designed it during a railway strike in Nairobi to derailments and problems on the tracks. The bicycle can be viewed at the Nairobi Railway Museum.
11163877_996227077076675_7177400844151197851_n.jpg

An underpass (culvert) in Kajiado county along the route of the Standard Gauge Railway.
The railway line will be fenced on either side to enusure there are no cases of accidents. The project's design allows for free movement of residents along the route and animals at designated points.

Wenzetu Kenya wamekamilisha ujenzi wa reli ya standard gauge,kwa maana hiyo garama za kusafiri na kusafirisha bidhaa zitakua chini na hivyo kukuza Mara moja biashara ndani na nje ya Kenya.

Tanzania ifike mahali tuwe na dhamila ya dhati ya kuleta maendeleo kwa wananchi.

Tuimarishe reli yetu, ya Dar-Pwani-Tanga-Arusha. Then Dar-Pwani-Moro-Dom-Singida-Tabora-Kigoma.Tabora- Shinyanga-Mwanza.

Hiyo reli ikisimamiwa vizuri pengine Tanzania inaweza kuwa tajiri kukiko nchi zote za maziwa makuu na kusini Mwa jangwa la sahara sababu bandari zetu zitakua imara zaidi mazao yetu ya kilimo yataweza kuuzika ndani na nje kwa wepesi mno.

Mungu ibariki Tanzania.
10995917_842444269124280_8621665465440405036_n.jpg

11141115_842444315790942_697939430097725182_n.jpg
 
Kwakweli mleta mada umeona mbali. Wakat mwingne inauma sana kwa jins ambavyo hatuna vipaumbele ambavyo ni economic friendly. Reli ndio mgongo wa ukuaji uchumi hilo halina ubishi
 
Back
Top Bottom