naunga mkono hojaTanganyika ilikuwepo tangu kuumbwa kwa ulimwengu,na watanganyika walikuwepo chini ya tawala zao za kitemi lakini hawakuyumba.
Wakaja Wajermani baadae Waingereza Tanganyika ipo wala haikuyumba.
1954 akaja mgeni mwingine anaitwa TANU takampokea akafanya harakati zake zote hadi 1964 Tanganyika akaungana na Zanzibar akazaliwa Tanzania lakini hatukuyumba.
Mwaka 1977 TANU na ASP wakaungana akazaliwa CCM hatukuyumba.
Kati ya mwaka 1980 hadi 1985 Tanzania ilipitia kipindi kigumu kiuchumi kuliko wakati wowote ule tukaambiwa tufunge mikanda tukafunga mikanda maduka hayana kitu sukari,chunvi,sabani dawa za meno nk mpaka upange mstari almaarufu kama bidhaa adimu ,watanzania tukavumilia na nchi haikuyumba.
Mwaka 1993 Vyama vingi vikaanzishwa watabiri uchwala wakaonya tutayumba lakini wapi hatukuyumba ndio tukashuhudia kukua kwa demokrasia manyanyaso madogomadogo ya watawala yakatoweka kama moshi,kodi ya kichwa,kunyang'anywa mali kwa raia bila hiyari yao kama kuku,mbuzi,ng'ombe na michango isiyokuwa na kichwa wala miguu iliyopewa jina la kwenda kuimarisha chama ikatoweka, ingawa mali hiyo tuliyoichangia kama watanzania kama viwanja vya michezo kote mikoani vikaitwa vya CCM,na majengo na vitega uchumi vyote vilivyopatikana kabla 1993 ni mali ya wananchi wote wa Tanzania tukadhurumiwa lakini hatukuyumba.
Kama watanzania walipita katika mageuzi makubwa namna hiyo na uonevu mkubwa namna hiyo hawakuyumba,
Kwa nini leo tunaambiwa Tanzania bila CCM itayumba?
Mimi nasema nchi hata kama itaongozwa na NLD haitayumba hizo ni propaganda za wanasiasa ili waendelee kututafuna ova.
Sijui unataka iyumbe vipi ili ujue kuwa nchi inayumba?Tanganyika ilikuwepo tangu kuumbwa kwa ulimwengu,na watanganyika walikuwepo chini ya tawala zao za kitemi lakini hawakuyumba.
Wakaja Wajermani baadae Waingereza Tanganyika ipo wala haikuyumba.
1954 akaja mgeni mwingine anaitwa TANU takampokea akafanya harakati zake zote hadi 1964 Tanganyika akaungana na Zanzibar akazaliwa Tanzania lakini hatukuyumba.
Mwaka 1977 TANU na ASP wakaungana akazaliwa CCM hatukuyumba.
Kati ya mwaka 1980 hadi 1985 Tanzania ilipitia kipindi kigumu kiuchumi kuliko wakati wowote ule tukaambiwa tufunge mikanda tukafunga mikanda maduka hayana kitu sukari,chunvi,sabani dawa za meno nk mpaka upange mstari almaarufu kama bidhaa adimu ,watanzania tukavumilia na nchi haikuyumba.
Mwaka 1993 Vyama vingi vikaanzishwa watabiri uchwala wakaonya tutayumba lakini wapi hatukuyumba ndio tukashuhudia kukua kwa demokrasia manyanyaso madogomadogo ya watawala yakatoweka kama moshi,kodi ya kichwa,kunyang'anywa mali kwa raia bila hiyari yao kama kuku,mbuzi,ng'ombe na michango isiyokuwa na kichwa wala miguu iliyopewa jina la kwenda kuimarisha chama ikatoweka, ingawa mali hiyo tuliyoichangia kama watanzania kama viwanja vya michezo kote mikoani vikaitwa vya CCM,na majengo na vitega uchumi vyote vilivyopatikana kabla 1993 ni mali ya wananchi wote wa Tanzania tukadhurumiwa lakini hatukuyumba.
Kama watanzania walipita katika mageuzi makubwa namna hiyo na uonevu mkubwa namna hiyo hawakuyumba,
Kwa nini leo tunaambiwa Tanzania bila CCM itayumba?
Mimi nasema nchi hata kama itaongozwa na NLD haitayumba hizo ni propaganda za wanasiasa ili waendelee kututafuna ova.
Tanganyika ilikuwepo tangu kuumbwa kwa ulimwengu,na watanganyika walikuwepo chini ya tawala zao za kitemi lakini hawakuyumba.

kabisaa ccm ni kikundi cha wajanjawajanja na weziTanzania bila CCM = MAENDELEO + UHURU kamili
"Tanganyika ilikuwepo tangu kuumbwa kwa ulimwengu,na watanganyika walikuwepo chini ya tawala zao za kitemi lakini hawakuyumba.
Wakaja Wajermani baadae Waingereza Tanganyika ipo wala haikuyumba.
1954 akaja mgeni mwingine anaitwa TANU takampokea akafanya harakati zake zote hadi 1964 Tanganyika akaungana na Zanzibar akazaliwa Tanzania lakini hatukuyumba.
Mwaka 1977 TANU na ASP wakaungana akazaliwa CCM hatukuyumba.
Kati ya mwaka 1980 hadi 1985 Tanzania ilipitia kipindi kigumu kiuchumi kuliko wakati wowote ule tukaambiwa tufunge mikanda tukafunga mikanda maduka hayana kitu sukari,chunvi,sabani dawa za meno nk mpaka upange mstari almaarufu kama bidhaa adimu ,watanzania tukavumilia na nchi haikuyumba.
Mwaka 1993 Vyama vingi vikaanzishwa watabiri uchwala wakaonya tutayumba lakini wapi hatukuyumba ndio tukashuhudia kukua kwa demokrasia manyanyaso madogomadogo ya watawala yakatoweka kama moshi,kodi ya kichwa,kunyang'anywa mali kwa raia bila hiyari yao kama kuku,mbuzi,ng'ombe na michango isiyokuwa na kichwa wala miguu iliyopewa jina la kwenda kuimarisha chama ikatoweka, ingawa mali hiyo tuliyoichangia kama watanzania kama viwanja vya michezo kote mikoani vikaitwa vya CCM,na majengo na vitega uchumi vyote vilivyopatikana kabla 1993 ni mali ya wananchi wote wa Tanzania tukadhurumiwa lakini hatukuyumba.
Kama watanzania walipita katika mageuzi makubwa namna hiyo na uonevu mkubwa namna hiyo hawakuyumba,
Kwa nini leo tunaambiwa Tanzania bila CCM itayumba?
Mimi nasema nchi hata kama itaongozwa na NLD haitayumba hizo ni propaganda za wanasiasa ili waendelee kututafuna ova.
kabisaa ccm ni kikundi cha wajanjawajanja na wezi
walioamua kuijigawia rasilimali zetu na kugeuza hii nchi ni mali yao

wala sisomi ukishaweka neno ccm hata kama ni mzazi wangu nakupotezea
heading onlymie mwenyewe sijasoma !na mstari wa mwisho ndo nimesoma fyu
Taifa la Qatar bado linaandamwa na kesi ya rushwa, Qatar wanadaiwa kwamba walitoa rushwa ili wapewe nafasi ya kuandaa michuano ya soka ya kombe la dunia mwaka 2022 suala ambalo liliwaandama sana.
Nasser Al Khelaifi tajiri wa Qatar ambaye ndiye raisi wa klabu ya PSG naye ameingia katika kesi ya rushwa ambapo inadaiwa alitoa kiasi kikubwa cha pesa kwa moja wa maafisa wa FIFA ili kupewa haki za matangazo.
Al Khelaifi ambaye majuzi tu aliishangaza dunia kwa kufanya usajili uliovunja rekodi ya dunia kumnunua Neymar anadaiwa kwamba alihitaji kumiliki haki za kurusha matangazo ya michezo ya kombe la dunia mwaka 2026 na 2030.
Jerome Vackle aliyekuwa secretary wa zamani wa chama cha soka duniani FIFA anadaiwa alipewa kiasi cha pesa kwa ajili ya kulisaidia shirika la Bein Sports kupata haki za matangazo hayo ya kombe la dunia.
Kuhusishwa kwa Al Khelaifi na kesi hii kunazidi kuiweka Qatar karibu skendo ya rushwa katika fainali za kombe la dunia 2022 ambapo kesi ya Vackle naye ambaye alitimuliwa na FIFA kutokana na kesi za rushwa anazidi kuchafuka.
Maofisa wa masuala ya rushwa kutoka Uswisi wamesema El Khelaifi ambaye ni bosi wa shirika la Bein Sports alilitumia shirika lake kama njia ya kupata tenda hiyo ya matangazo ya kombe la dunia na tayari maofisa hao wameanza uchunguzi dhidi ya Al Khelaifi.
Bado hadi sasa raisi huyo wa PSG hajazungumza lolote juu ya madai dhidi yake japo hii inaweza kuwa kesi kubwa itakayomchafua yeye pamoja na Qatar kuelekea fainali za kombe la dunia mwaka 2022.
[emoji115][emoji460]
Nakusikitikia sana mtoa mada! Inaonesha wazi utupu wa ubongo wako kuhusu kanuni za maisha ya kitu chochote kile hapa duniani. Niambie ni kitu gani kimewahi kudumu daima? Dola zenye nguvu sana kuwahi kutawala dunia hii zote zilikufa kifo cha asili. Ndugu yangu ni muda tu, utaniambia wewe mwenyewe, acha kujitoa ufahamu, milele ni imani ya kiroho tu, na hapa kwenye swala la CCM hakuna imani kama hiyo. Kila kilichozaliwa hakika kitauonja umauti. Je CCM haikuzaliwa 1977? Hakika itakufa tu siku moja na siku hiyo haiko mbali sana. Ni fumbo la kanuni. Subiri.Taifa la Qatar bado linaandamwa na kesi ya rushwa, Qatar wanadaiwa kwamba walitoa rushwa ili wapewe nafasi ya kuandaa michuano ya soka ya kombe la dunia mwaka 2022 suala ambalo liliwaandama sana.
Nasser Al Khelaifi tajiri wa Qatar ambaye ndiye raisi wa klabu ya PSG naye ameingia katika kesi ya rushwa ambapo inadaiwa alitoa kiasi kikubwa cha pesa kwa moja wa maafisa wa FIFA ili kupewa haki za matangazo.
Al Khelaifi ambaye majuzi tu aliishangaza dunia kwa kufanya usajili uliovunja rekodi ya dunia kumnunua Neymar anadaiwa kwamba alihitaji kumiliki haki za kurusha matangazo ya michezo ya kombe la dunia mwaka 2026 na 2030.
Jerome Vackle aliyekuwa secretary wa zamani wa chama cha soka duniani FIFA anadaiwa alipewa kiasi cha pesa kwa ajili ya kulisaidia shirika la Bein Sports kupata haki za matangazo hayo ya kombe la dunia.
Kuhusishwa kwa Al Khelaifi na kesi hii kunazidi kuiweka Qatar karibu skendo ya rushwa katika fainali za kombe la dunia 2022 ambapo kesi ya Vackle naye ambaye alitimuliwa na FIFA kutokana na kesi za rushwa anazidi kuchafuka.
Maofisa wa masuala ya rushwa kutoka Uswisi wamesema El Khelaifi ambaye ni bosi wa shirika la Bein Sports alilitumia shirika lake kama njia ya kupata tenda hiyo ya matangazo ya kombe la dunia na tayari maofisa hao wameanza uchunguzi dhidi ya Al Khelaifi.
Bado hadi sasa raisi huyo wa PSG hajazungumza lolote juu ya madai dhidi yake japo hii inaweza kuwa kesi kubwa itakayomchafua yeye pamoja na Qatar kuelekea fainali za kombe la dunia mwaka 2022.
[emoji115][emoji460]
Wale wa ligi za mchangani nadhani bado hawajui ngoma nzito ya CCM.
CCM ni chama bora na imara barani Africa. Hakuna chama chochote Africa kinachoweza kufikia au kukaribia nguvu kubwa ya CCM.
Ndani ya damu yangu inatembea rangi ya kijani. Nimesha kula yamini kwamba CCM milele nitaienzi maana ndio uhai wa taifa letu.
Maisha ya wananchi wa TZ wanategemea uhai wa chama kikubwa Africa CCM.
Kuna hadithi ya samaki kwamba akiwa ndani ya maji anaweza akafanya madoido mengi apendayo kufanya. Huku aikwa hajui nje ya maji kuna maisha gani.
Wengi wamejaribu kuenda nje ya CCM wameona ugumu na hali ngumu. Nje ya CCM ni shida, hakuna heshima ni kurudi chini kabisa.
Tunawaona mawaziri wawili wakuu walichokifanya. Sasa hivi wanaaibika wamekuwa kams hawana akili nzuri. Ni jambo la hatari sana kumtukana mzazi wako. CCM ni mzazi wa wote TZ. bila CCM hakuna Tanzania.
Rais ametoa mda kwa wale waliofanya makosa watubu.
Mnakaribishwa sana kabla ya mlango haujafungwa.
Bila CCM , Tanzania haipo.
Pole kwa kujifariji. Subira ya vuta heri. Wewe kaa ukisubiri CCM kufa. Utabaki hivyo hivyo.Nakusikitikia sana mtoa mada! Inaonesha wazi utupu wa ubongo wako kuhusu kanuni za maisha ya kitu chochote kile hapa duniani. Niambie ni kitu gani kimewahi kudumu daima? Dola zenye nguvu sana kuwahi kutawala dunia hii zote zilikufa kifo cha asili. Ndugu yangu ni muda tu, utaniambia wewe mwenyewe, acha kujitoa ufahamu, milele ni imani ya kiroho tu, na hapa kwenye swala la CCM hakuna imani kama hiyo. Kila kilichozaliwa hakika kitauonja umauti. Je CCM haikuzaliwa 1977? Hakika itakufa tu siku moja na siku hiyo haiko mbali sana. Ni fumbo la kanuni. Subiri.
CCM =Chama Cha MadhalimuCCM = TANZANIA.
Wazo lako hilo. Lakini ukweli huwezi ubadili. Pambana na hali yako.