Emc2
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 16,808
- 16,951
Wale wa ligi za mchangani nadhani bado hawajui ngoma nzito ya CCM.
CCM ni chama bora na imara barani Africa. Hakuna chama chochote Africa kinachoweza kufikia au kukaribia nguvu kubwa ya CCM.
Ndani ya damu yangu inatembea rangi ya kijani. Nimesha kula yamini kwamba CCM milele nitaienzi maana ndio uhai wa taifa letu.
Maisha ya wananchi wa TZ wanategemea uhai wa chama kikubwa Africa CCM.
Kuna hadithi ya samaki kwamba akiwa ndani ya maji anaweza akafanya madoido mengi apendayo kufanya. Huku aikwa hajui nje ya maji kuna maisha gani.
Wengi wamejaribu kuenda nje ya CCM wameona ugumu na hali ngumu. Nje ya CCM ni shida, hakuna heshima ni kurudi chini kabisa.
Tunawaona mawaziri wawili wakuu walichokifanya. Sasa hivi wanaaibika wamekuwa kams hawana akili nzuri. Ni jambo la hatari sana kumtukana mzazi wako. CCM ni mzazi wa wote TZ. bila CCM hakuna Tanzania.
Rais ametoa mda kwa wale waliofanya makosa watubu.
Mnakaribishwa sana kabla ya mlango haujafungwa.
Bila CCM , Tanzania haipo.