Tanzania bara ni nchi gani?

tanzania bara ndo tanganyika , tunataka tanganyika yetu tanganyika oyeeeeeeeeeeeeeeee
 
Angalia katiba ya mwaka 1977 imeweka wazi acha uvivu wa kusoma
 
Tanzania Bara ni nchi ambayo makao makuu yake yapo Msoga
 
Tanzania bara aka Tanganyika ipo ila imejificha kwa kuvaa koti la serikali ya muungano
 
Hakuna nchi ya Tanganyika ilishakufa. Tanzania kwanza!


Nakubaliana na wewe kwa 100%. Tanganyika ilikufa baada tu ya kuungana na Zanzibar zikaunda jina jipya TANZANIA. Swali langu kwako mbona Zanzibar haikufa? (ina wimbo wa Taifa, bendera, Rais nk.).
 
Nakubaliana na wewe kwa 100%. Tanganyika ilikufa baada tu ya kuungana na Zanzibar zikaunda jina jipya TANZANIA. Swali langu kwako mbona Zanzibar haikufa? (ina wimbo wa Taifa, bendera, Rais nk.).

naunga mkono hoja.
 

Hizo nchi-Tanzania Bara na Tanzania Visiwani wanazijua CCM tu. Mimi najua kuna nchi inaitwa Zanzibar, na. Nchi nyingine ni Tanzania.
 


Wewe jina litakusaidia nini? Mbona kuna nchi Nyingi tu Duniani hazina Majina na zinaendelea tu? Kwa mfano Marekani au America kwa Kiingereza kila Nchi inaweza kujiita hivyo kuanzia Ajentina mpaka Kanada wana haki ya kujiita Marekani, au Afrika Kusini kila Nchi ina haki ya kujiita Afrika Kusini kuanzia Swaziland, Lesotho, Namibia, Msumbiji n.k au Afrika ya Kati kila Nchi inaweza kujiita Afrika Kati mpaka nchi yetu ya Tanzania inaweza kujiita Afrika ya Kati!

Acha Ujinga na wekeza kwenye ya mambo ya kukuleta Maendeleo, Jina halina maana yoyote ndio ujumbe wangu!
 

Mjinga ni wewe tena mbulula usiyeheshimu mawazo ya watu.
 

u.n.a.pumuliwa nyuma . Wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…