Hakuna nchi ya Tanganyika ilishakufa. Tanzania kwanza!TATIZO watanganyika hawana uzalendo na nchi yao hawajui thamani ya uhuru
Hakuna nchi ya Tanganyika ilishakufa. Tanzania kwanza!
na tarehe 9/12 mnasherehekea uhuru wa nchi gani............ upuuzi tu.Hakuna nchi ya Tanganyika ilishakufa. Tanzania kwanza!
Waulize pia United Kingdom Ireland iliponaje baada ya kuungana ?Kama ilikufa na Visiwani ilitakiwa ife pia ili kizaliwe kitu kipya Tanzania. Sasa Tanganyika ilikufa na Zanzibar ikaponaponaje?
Ushangaa uadhimishwa kichokufa? shangaa pia Kenya kuna Kenya day, Moi day na sisi tuna Nyerere day lakini hao wote wameshakufa.na tarehe 9/12 mnasherehekea uhuru wa nchi gani............ upuuzi tu.
bora mngeungana na kenya ingekuwa raisi kuliko kuimeza zanzibar. sisi tunachukua nchi yetu kwa awamu
asiyejua maana usimwambie maana. MUUNGANO KIKATIBA ushakufa kwa zanzibar kutangaza NCHI (DOLA YA ZNZ)
jina tanzania bakieni nalo sisi jina letu zanzibar ni zuriii na twalipenda
ETI ZANZIBAR SI NCHI......-------!
SUBIRINI tupate hiyo katiba iwe 2 au 3 ni kuelekea kuvunja muungano tu.
Swali zuri sana tarehe 9/12/..wanasherekea uhuru wa nchi gani?..na tarehe 9/12 mnasherehekea uhuru wa nchi gani............ upuuzi tu.
bora mngeungana na kenya ingekuwa raisi kuliko kuimeza zanzibar. sisi tunachukua nchi yetu kwa awamu
asiyejua maana usimwambie maana. MUUNGANO KIKATIBA ushakufa kwa zanzibar kutangaza NCHI (DOLA YA ZNZ)
jina tanzania bakieni nalo sisi jina letu zanzibar ni zuriii na twalipenda
ETI ZANZIBAR SI NCHI......-------!
SUBIRINI tupate hiyo katiba iwe 2 au 3 ni kuelekea kuvunja muungano tu.
Ni kumbukumbu ya Uhuru wa Tanganyika kuna shida gani kuadhimisha? mbona kuna maadhimisho ya Kenyata day, na Nyerere day hali ya kuwa wameshakufa?Swali zuri sana tarehe 9/12/..wanasherekea uhuru wa nchi gani?..
Nimekuwa nikichanganyikiwa na kushindwa kuwaelewa viongozi na wabunge kitu kinachoonesha kuwa muungano una tatizo hata kutaja tu muungano wenyewe mfano:
-Wengine wanasema Tanzania bara na zanzibar
-Tanzania bara na Tanzania visiwani
Nchi ya Tanzania bara ndo nchi gani? Huu muungano ni wa nchi mbili mbina inatajwa zanzibar tu hiyo ya bara ni ipi?
Ni nchi iliyoibuliwa na Nyerere baada ya kuiuwa Tanganyika.
Nina furaha kubwa leo kuona wengi mnajumuika nami kuona kuwa Nyerere alifanya makosa makubwa sana kuiuwa Tanganyika. Wengi wenu FaizaFoxy akisema Nyerere alifanya makosa mengi tu si hili la kuiuwa Tanganyika pekee huwa mnaniponda, leo kulikoni?
Kama ilivyo ya mapinduzi Z'bar inasheherekewa kama kufa ndio kusheherekewa ili hali bado nchi ila tanganyika kifo chake tofauti na Z'bar..Ni kumbukumbu ya Uhuru wa Tanganyika kuna shida gani kuadhimisha? mbona kuna maadhimisho ya Kenyata day, na Nyerere day hali ya kuwa wameshakufa?