Tanzania Banking Sector 2007 Performance Review -report

wewe umetoa link ya gazeti badala ya ripoti

Mimi ndiye mwombaji na mwanzishaji wa huu uzi.Nimeomba repoti kama kuna mtu anayo. linki ya gazeti nimeweka ili watu waelewe zaidi ni ripoti gani hii nazungumzia/natafuta, lini ilitoka nakadhalika...

kama ningekuwa nayo nisingeweka linki ya gazeti.

Sijui umenielewa? Wacha kukurupuka.
 
Kama kuna member wa Tanzania Institute of Bankers hapa atusaidie kutuwekea maana najua anaweza kupata copy.
 
Mimi siko Tanzania Institute of Bankers. Wala sina ile repoti ya Massawe Ernst and Young. Lakini ninayo Banking Sector Review for 2007 iliyotolewa na Serengeti Advisers Ltd wiki iliyopita.

Nimeiambatanisha hapo chini. I hope it helps
 
Attachments

  • Serengeti Advisers 2007 Tanzania Bank Review.pdf
    229.7 KB · Views: 263
Is there a review for 2009 or at least 2008? Anything on the Tanzanian Banking Sector will help, Thanks
 
Tanzania Institute of Bankers, inaongozwa na Cashmir Nyoni, ni mme wa Blandna Nyoni. Huyu mzee ni mlevi sana, hivyo hii taasisi is virtually redundant, therefore don't expect to get anything there.
 
Tanzania Institute of Bankers, inaongozwa na Cashmir Nyoni, ni mme wa Blandna Nyoni. Huyu mzee ni mlevi sana, hivyo hii taasisi is virtually redundant, therefore don't expect to get anything there.

Dear friends

Thanks for posting. I like Tanzania Banking Sector 2007 Performance Review -report very much.

Very useful for me.

If you have some time, pls visit my blog at: Performance review report

Rgs
 
Mwezi wa saba mwaka huu nilihudhuria East African Banking school iliyokuwa hosted na TIOB, muda wote mzee Cashmir Nyoni alikuwa kapombeka....macho mekunduu!
Tukaahidiwa tungetumiwa soft copies za presentations zote zilizofanyika, ilichukua takribani wiki tatu ndo tukapata email ....cha ajabu HAKUNA ATTACHMENT yeyote. Baadhi ya jamaa waka respond kumueleza mtumaji kwamba hakuna attachment ....lakini mpaka leo kimyaaaa.
Hii ni aibu kubwa kwa TIOB ikiongozwa na Cashmir Nyoni, kwani kwenye ile school kulikuwa na watu wengi. From Uganda, Kenya, Malawi and Nigeria.
Tanzania Institute of Bankers, inaongozwa na Cashmir Nyoni, ni mme wa Blandna Nyoni. Huyu mzee ni mlevi sana, hivyo hii taasisi is virtually redundant, therefore don't expect to get anything there.
<br />
<br />
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom