Tanzania: Authorities drafting another law targeting the Cyberspace

Yaani wanajisifia kuzuia Google! I cannot imagine how can I live without Google search engine and the like! Hatuwezi kujijengea ulimwengu wetu wenyewe! Wazo LA kuzuia mitandao kamwe lisikubalike! LA maana ni kutokuitumia mitandao kwa kutukana watu na vitu kama hivyo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: SDG

Tunaelekea kwa wenzetu, a step at a time towards Bassel Khartabil: Missing Syrian-Palestinian 'executed'
 
Huyu kwanini aliwekwa kwenye house arrest kwa kueleza kilicho sahihi!? Kwanini haonekani tena Kwenye shughuli za chama.


sasa kama unaeleza kitu kilicho sahihi...unaogopaje sheria hii. Tuache majungu....!
 
Huyu kwanini aliwekwa kwenye house arrest kwa kueleza kilicho sahihi!? Kwanini haonekani tena Kwenye shughuli za chama.

Mkiambiwa muwachochezi mnaanza kubabaika kuwa mnalishwa maneno! Sasa hii ni kitu gani (lack bold)? Mkuu tuwe makini na tunachopost mitandaoni. Ni kwa post zenu kama hizi mnalazimisha serikali kutunga sheria kali kudhibiti Cybrespace!
 
Hii sheria itapitishwa na itasainiwa faster
 
Acha ujinga wewe! Kwani hizi posts zetu zinasema uongo kuhusu huyo dikteta uchwara anayetaka dunia iamini kwamba Tanzania ni mfumo wa vyama vingi lakini kauli zake ni tofauti. Mchochezi mwingine huyu hapa lini atakamatwa!?


Mkiambiwa muwachochezi mnaanza kubabaika kuwa mnalishwa maneno! Sasa hii ni kitu gani (lack bold)? Mkuu tuwe makini na tunachopost mitandaoni. Ni kwa post zenu kama hizi mnalazimisha serikali kutunga sheria kali kudhibiti Cybrespace!
 
Mitandao ya kijamii wameitumia sana WANASIASA 2015

May Allah bless Me and You
 
Naona nchi za ukanda wa Afrika Mashariki zimechachamaa kwa kuamua kupambana na demokrasia na kuminya haki kwa kumtumia mkoloni mpya (China).
Naona watawala wa nchi hizi wamenogewa kiasi cha kuamua kwa maksudi kuwa madikteta. Uganda,Rwanda,Burundi na South Sudani,agharabu Kenya kuna mwanga/nuru kiasi kwamba wananchi wanaona mbele.
 
Sie Wahandisi tunatambua kwamba Ugunduzi wa Mtu mmoja hauwezi kukufanya au haukuzuii pia wewe kugundua au kuongezea jambo jipya! Nasi tutagundua njia nyingine ya Kuwasiliana tena huru na Haki!
Hao ndo wale wahandisi waliozalishwa kwa vibom[emoji16]
 
Huu mpango kwa sasa sio sahihi. Nchi bado changa Sana.Hata wataalamu wa mifumo hiyo Hakuna. Sasa hapo wachina si wanatutawala you.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…