Tanzania are you serious? this is stone age

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,386
GO9G4880.JPG
 
huyo aliyesimama hapo no monita au nani? kwa nini au huyo mama anapiga kung fu? mam wa watu yupo comfortable kweli? kwa nnhuyu mtu sikumuona obama alipokutana na jk white house?
 
Mtamtambuaje kuwa yeye ni presidaaa.. Huyu jamaa ni noma anapenda misifa ya kizamani..
 
Sasa na hicho kitambi ikitokea timbwili atalimudu kisawasawa kwelii??
 
Ndio za kibongobongo hizo.
Ili mradi jamaa aonekana yupo kazini, ana kazi muhimu LOL
Yaani, sasa hapo analinda nini?
Ama kweli, "mjinga ndio aliwaye"

NN kajisemea miafrika.........??
 
Si mnajua kuwa tunishi kijima. Huu ni utumwa kwani ofisini kwa Rais ikulu anaweza kuingia assasin bila ya kuonekana? Mbona hana hata rungu.
 
Raisi kuwa na ADC (Mpambe) inaeleweka lakini hii ya kumweka katikati ya Bendera naona JK kaibuni hivi karibuni. Hakika raisi wetu msanii ingawa hapa amechemsha kwani haionekani vizuri.
 
huu mfumo wa kitumwa kabisa,
hapo wako wawili ina maana jk na huyo mama ni nani wa kumhofia mwenzake mpaka kuweka ulinzi
 
ni vizuri kujadili kitu ambacho unakifahamu, ninachojua ni kwamba huyo si mlinzi wa rais ila ana kazi nyingine tofauti na ulinzi.
 
ni vizuri kujadili kitu ambacho unakifahamu, ninachojua ni kwamba huyo si mlinzi wa rais ila ana kazi nyingine tofauti na ulinzi.

...kazi ipi hiyo kama si kuwanyonya tu damu wenzake waliokaa??!!!! aarrrgh, mbwembwe za kitumwa tu hizi wala haziendani na nyakati kabisaa!!!!
 
Huu ni ulinzi wa enzi za kidikteta...umepitwa na wakati kabisa na ni viongozi wachache sana wanaendeleza ulinzi huu ambao wengi wetu tutauita sungusungu.
 
Back
Top Bottom