Mimi naamini kabisa!
Kama CDM wasingedhulumiwa majimbo yao kibao ya ubunge mwaka 2015 leo demography za kisiasa ingekuwa tofauti!
Mwaka 2015 kule mbeya Mwaky"mango" alichapwa hata yeye hili analijua
Kule Kyerwa Mutungilehi alishinda hili hata wao wanalijua
Hapa Dar CCM hawakushinda jimbo hata moja, hata wao hili wanalijua
Kule Mtwara walipigwa tu majimbo mengi hili hata wao wanalijua
Tumbili kule Kigoma alishinda hili hata wao wanalijua
Wenje kule mwanza alishinda hata wao wanajua
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.