Tanzainia: Hakuna Matata!

Tanzainia: Hakuna Matata!

idoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2013
Posts
3,051
Reaction score
1,423
BVR-18June2015.jpg

Mashine za BVR zinazotumika katika uandikishaji
wa daftari la kudumu la wapigakura, zikishushwa
kwenye pikipiki maarufu kama bodaboda katika
kituo cha Kang'anga kata ya Mkuyuni Wilaya ya
Nyamagana mkoani Mwanza juzi. Wananchi wengi
walihoji mashine hizo zenye thamani kubwa kubebwa
na bodaboda. PICHA: DANIEL MKATE
 
Back
Top Bottom