Tanx. alot jf member.

Tanx. alot jf member.

ndo nini hiki?? fyuuu!! mada zingine kero tupu
 
Atakuwa kazoea sana kuchat na marafiki wa rika lake, bahati mbaya hajajua JF ni mkusanyiko wa watu wa kada mbali mbali...

Tuwavumilie tu...

Kabisa na kwenye mitihani wanaandika hivihiv ndomaana dv5 haziishi
 
Jamaa kakimbia mazima naona jf bana mmeshambulia kama mpira wa kona lol!
 
Back
Top Bottom