Tanx. alot jf member.

Ingekuwa unamueka mleta mada mbovu kwenye bin ningeanzia na ww
 
JF ni stress free.... na presha diffuse !! Well kijana umifariji....
 
What kind of language is this? au keyboard/keypad yako ina kwikwi??
Mkuu nilisema wapo wengi sipati jf prty patakuwa hapatoshi....ila watu8 umenichekesha hii keyboard imetengenezwa Brooklyn city.
 
Last edited by a moderator:
Kwa hali hii...Nadhani, kuwe na Umri wa watu kujiunga na Jamiiforum(ingawa wengine bado hawajakua kifikra ingawa wana umri mkubwa), vinginevyo kuwe na Jukwaa la watoto.

Hivi hilo jukwaa la watoto nan atakayeli control..
Mmmh!!
 
Mods hamishia hii kitu Facebook kule ndio kwa watoto
 
mi kaniacha hoi hawa siju shule hawajafungua,huyu ni wale wa xoxo xaxa wananikera

Atakuwa kazoea sana kuchat na marafiki wa rika lake, bahati mbaya hajajua JF ni mkusanyiko wa watu wa kada mbali mbali...

Tuwavumilie tu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…