Tanroads mtwara,lindi na dodoma

baba BillG

New Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
3
Reaction score
0
Wadau vp,
Nafasi zilizotangazwa za TANROADS mbona Morogoro ndiyo wameishaita kwa ajili ya usahili, hawa jamaa wengine wa Dodoma, Lindi, Mtwara, n.k mbona kimya?
Tupasheni kama kuna mdau ana habari kuhusu hawa jamaa.
 
lindi na dodoma siku nyingi wametoa na kuna mtu aliweka hapahapa jamviin
 
Basi ckubahatika kufahamu hilo. Asante kwa taarifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…