umekuwa chizi nini? yaani kukaa kwenye nyumba za kupangisha kwa garama kubwa ya kodi yetu niyakushangilia kweli fala wewe? mbona tanroads offices za mikoani zina majengo yake. tuondolee ubwege wako hapa lofa na mpumbavu wewe.Nawewe umejiona umepost sio. Kwani TANROADS ilianzishwa lini? Lengo lake ni nini? Je ipo na income? Huwa inapata wapi pesa? Ukiyajibu maswali hayo utakuwa umejijibu
Kama wanaweza kulipa kodi ya 2bil. wanashindwaje kujenga ofisi ya 1b??? Usimkoromee amesema kitu cha maana toka wamepanga jengo lile makao makuu ya airtel walipa Tsh. bil ngapi kwani wangejenga hizo fedha zingine wangefanya mambo mengine.
Tanroads ilianzishwa miaka ya mwanzo ya 2000. Lengo kusimamia barabara kuu nchini. Income yao inatoka kwenye road licenses, weigh bridges na subsidiaries from government. TBA wanajenga nyumba za serikali na taasisi zake.Nawewe umejiona umepost sio. Kwani TANROADS ilianzishwa lini? Lengo lake ni nini? Je ipo na income? Huwa inapata wapi pesa? Ukiyajibu maswali hayo utakuwa umejijibu
Ingekuwa vyema akawahoji TBA kwanini hawajengi ofsi za TANROADS.Tanroads ilianzishwa miaka ya mwanzo ya 2000. Lengo kusimamia barabara kuu nchini. Income yao inatoka kwenye road licenses, weigh bridges na subsidiaries from government. TBA wanajenga nyumba za serikali na taasisi zake.
Pumba contribution!nyie nae kama wapuuze same people walikua anadis hapa makonda kufanya ukarabati wa ofc same people walikua wanadis nyumba za serekali kuuzwa kwakua zilikua magofu hao hao wanaanza kusema tanroad wajenge n ma sure wakijenda same people wataanza kusema hizo ni baranara ngapi za lami?we unashangaa tanroad ni wakala kikosa jengo zuri ila chadema waliokua wanahitaji na kuwa na matumaini ya kuchukua nchi kwa asilimia 95 hawana office wamepanga?
Hata kama wangefanyia kazi chini ya mti ila output zao si zinaonekana shida nn?nilitegemea ungesema mahakama ambazo nyingi mvua zikinyesha mahakimu wanaloana na mvua majengo .
wanafaulu?na wengine wanasomea chini ya mti.
tupia picha basi kiongoziJengo linajengwa Makao makuu dodoma katika kiwanja chenye 80,000 sq.m