TANROADS mnajenga barabara lakini hamna jengo

TANROADS mnajenga barabara lakini hamna jengo

and 998 others

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
27,921
Reaction score
39,105
Hivi TANROADS mnakosaje kuwa na jengo lenu wakati mnajenga barabara nchi nzima?

Mnaishia kupanga majengo ya gharama kubwa(mfano makao makuu ya TANROADS)

Inasikitisha.
 
Nawewe umejiona umepost sio. Kwani TANROADS ilianzishwa lini? Lengo lake ni nini? Je ipo na income? Huwa inapata wapi pesa? Ukiyajibu maswali hayo utakuwa umejijibu
 
Kwa taasisi ya serikali kupanga jengo la mtu binafsi na wakat ardhi yote nchini ni Mali ya Rais ni aibu. Taasisi Inapata ardhi bure, vifaa vya ujenzi havilipiwi kodi na wataalam wapo tayar wanalipwa mishahara na serikali
Jibu kwanza maswali yangu.
 
Unaelewa maana ya "income " kwa taasisi za umma? Labda tuanzie hapo
 
Unaelewa maana ya "income " kwa taasisi za umma? Labda tuanzie hapo
Jibu kwanza maswali yangu ndio uendelee. La sivyo utakuwa mpuuzi fulani umekosa cha kufanya.
 
Uliyebeba akili jibu sasa kiongozi matusi ya nini? Hv kwa nini hamtaki kwenda shule na mmeshaambiwa elimu bure mpaka kidato cha 4?
 
Taasisi za serikali kupanga jengo la mtu binafsi na wakat wangeweza kujenga wenyewe na kupunguza gharama za kodi, dalali ni ufisadi tosh
 
Kama umeshindwa kujibu maswali hayo tu je nikikuita kuwa wewe umebeba mboji kwenye ubongo wako nitakosea?
Anaeli huyu ni yule mchambuzi maarufu wa Pumba....?!
Nimeona pumba zake kule kwenye uzi wa Katiba ya CDM... Huwa hana hoja za maana..., hata baada ya maneno haya mtamuona atakavyohara....!
 
Nawewe umejiona umepost sio. Kwani TANROADS ilianzishwa lini? Lengo lake ni nini? Je ipo na income? Huwa inapata wapi pesa? Ukiyajibu maswali hayo utakuwa umejijibu
Kama wanaweza kulipa kodi ya 2bil. wanashindwaje kujenga ofisi ya 1b??? Usimkoromee amesema kitu cha maana toka wamepanga jengo lile makao makuu ya airtel walipa Tsh. bil ngapi kwani wangejenga hizo fedha zingine wangefanya mambo mengine.
 
Kama umeshindwa kujibu maswali hayo tu je nikikuita kuwa wewe umebeba mboji kwenye ubongo wako nitakosea?
Mkuu umenifanya nicheke sana japo huwa sipendi vijembe ndani ya JF. Kwamba mtu kabeba mboji kichwani badala ya ubongo, ni hatari.

Hivi serikali yote inatakiwa kuwa na majengo yake? Si tunataka sector binafsi ishiriki au?

Mimi nadhani tuwahimize hao TANROADS watujengee barabara bora nchini na majengo yajengwe na NHC ama ile wakala nyingine ya majengo nadhani ipo chini ya Wizara ya Ujenzi.
 
Nawewe umejiona umepost sio. Kwani TANROADS ilianzishwa lini? Lengo lake ni nini? Je ipo na income? Huwa inapata wapi pesa? Ukiyajibu maswali hayo utakuwa umejijibu
Motor vehcle/ road licence... Ni mpunga mrefu tuu! Basi tu nikukosa watu wenye maono...
 
Kama wanaweza kulipa kodi ya 2bil. wanashindwaje kujenga ofisi ya 1b??? Usimkoromee amesema kitu cha maana toka wamepanga jengo lile makao makuu ya airtel walipa Tsh. bil ngapi kwani wangejenga hizo fedha zingine wangefanya mambo mengine.
Labda tuanzie hapo. Wanalipa kodi 2billion kwa muda gani, mwaka mmoja, mwezi mmoja au miaka 2? Na je wanalipa kwa mkupuo ama kwa installment?
 
Majitu mengine kazi yao ushabiki wa kijinga yeye anaona mtoa mada kaongea pumba wakati ni kweli hata wangeweka kila mladi wapunguze m50 tu wangejenga majengo kuliko wamepanga
 
Back
Top Bottom