Weighbridge Operators tayari walishaitwa na kufanyiwa usaili. If possible nenda hadi kibaha mile 1, huu upande ambao kuna geti yanatokea mabasi yanayotoka Moro kuingia dsm, kuna bar, ukiangaza macho yako vizuri pembeni mwa zile kuta utaona makaratasi yamebandikwa yana majina ya hao weighbridge operators.
Mwanzoni nilipoyaona yale majina ckutak kuamin but ile ndiyo ilikuwa hali halisi, taasisi kubwa kama ile TANROADS bado inafanya kazi ANALOGICALLY, inaenda kubandika majina ya watu "CALL FOR INTERVIEW" kwenye kuta za stand.......!