TANROADS; Hizi taa za kuongoza magari zitapotea ndani ya miezi sita

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Oct 20, 2014
15,169
23,860
20170601_112917.jpg

Hizi taa huku kwetu Mbezi , ziko ndani ya road shoulder , na kwa walivyo madereva wa malori ya vifusi na daladala , taa hizi nazihurumia.
 
Zitapotea kwa maana ipi?
Kwa kuibiwa au kuharibiwa?
Kuna barabara moja ya kuelekea Sumbawanga wananchi wamekabidhiwa alama za barabarani kwamba ni jukumu lao kulinda. Zikipotea Watawajibishwa.
 
KUNA VITU VIDOGO VIDOGO AMBAVYO HATA SISI WAZALENDO TUNAOKAA MTAA HUO TUNAWEZA REKEBISHA.SIO LAZIMA WAJE TANROADS
 
Bara bara ya Mwenge Tegeta ilikuwa machinjio, ila kwa sasa nayo mataa yamezidi na kusababisha foleni. Nadhani hii bara bara haijapatiwa 'optimal solution' ili kumaximize its usage and efficiency...
 
KUNA VITU VIDOGO VIDOGO AMBAVYO HATA SISI WAZALENDO TUNAOKAA MTAA HUO TUNAWEZA REKEBISHA.SIO LAZIMA WAJE TANROADS
Kwa gharama za nani..?? Na ni level ipi ya uzalendo inayohitajika ili kuhamisha taa tena bila hela...?? Ni hii ya kusemwa semwa kwenye majukwaa ya kisiasa au..???
 
Ijumaa niliona taa moja imebutuliwa na gari pale samaki (njia panda ya goba) this time wamekua sharp nimepita kesho yake tu nikakuta washarekebisha, kwa ukaribu uliowekwa tutarajie nyingi kubutuliwa.
 
Bara bara ya Mwenge Tegeta ilikuwa machinjio, ila kwa sasa nayo mataa yamezidi na kusababisha foleni. Nadhani hii bara bara haijapatiwa 'optimal solution' ili kumaximize its usage and efficiency...
Ilitakiwa ile barabara iwe na interchange na flyover kama tano hivi na madaraja au mahandaki ya kuvukia barabara, barabara ina space walishindwa nini kujenga madaraja simpe tu. Gari zingekuwa zinaenda bila shida ya kusimama kwenye taa.. na ajali zingepungua..

Ila ndio shida ya vitu vya msaada.. ile lami haina hata miaka mitano imebonyeabonyea..
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom