Shamkware JF-Expert Member Joined Nov 25, 2013 Posts 1,755 Reaction score 2,303 Jan 16, 2014 #1 habari jamani, nauliza mwenye info za nafasi za kazi zilizotangazwa na Tanroad mkoani kigoma kuna mwenyekujua lolote au inteview tayari maana hii nchi majanga tupu! :Naomba kuwasilisha mjadala:
habari jamani, nauliza mwenye info za nafasi za kazi zilizotangazwa na Tanroad mkoani kigoma kuna mwenyekujua lolote au inteview tayari maana hii nchi majanga tupu! :Naomba kuwasilisha mjadala:
N nyanchenche Member Joined Jan 13, 2014 Posts 16 Reaction score 1 Jan 16, 2014 #2 Uliomba post gani? Upo wapi?
N nyanchenche Member Joined Jan 13, 2014 Posts 16 Reaction score 1 Jan 19, 2014 #3 Mwenye kujua interview ya Tanroads kigoma tupe taarifa asanteni
runyaga JF-Expert Member Joined Dec 23, 2013 Posts 523 Reaction score 241 Jan 20, 2014 #4 nyanchenche said: Mwenye kujua interview ya Tanroads kigoma tupe taarifa asanteni Click to expand... Kwan washaita watu tayari?
nyanchenche said: Mwenye kujua interview ya Tanroads kigoma tupe taarifa asanteni Click to expand... Kwan washaita watu tayari?
N nyanchenche Member Joined Jan 13, 2014 Posts 16 Reaction score 1 Jan 21, 2014 #5 aise kigoma....TANROADS wameita kwa yule aliyeitwa hongera,namshukuru sana mungu..........kwa hatua hii interview j3 walioitwa tuwasiliane
aise kigoma....TANROADS wameita kwa yule aliyeitwa hongera,namshukuru sana mungu..........kwa hatua hii interview j3 walioitwa tuwasiliane