Engineer Hassan
JF-Expert Member
- Apr 28, 2017
- 477
- 504
Imagine mtu ambaye hajajiunga humu jf akakuuliza tangu ujiunge jf umepata faida kwa kiwango kipi na vitu gani umepungukiwa baada ya kujiunga humu ?
Mimi tangu nijiunge humu JF baadhi ya vitu vyangu muhimu nimeshindwa kuvifanya on time kwa sababu ya kunogewa na mijadala mbalimbali inayoendelea humu JF,lakini vilevile kwa upande wa pili nimefanikiwa kwa kiasi fulani kuongeza uelewa juu ya mambo mbalimbali yanayoendelea hapa nchini na duniani kwa ujumla.