Tangu nitumie hizi dawa VIGOMAX uume wangu hausimami asubuhi kama ilivyo kawaida kwa wanaume

Pole sana kwa changamoto hiyo.Umeharibu mfumo wako wa asili kww tamaa isiyoweza kukusaidia.Unachotakiwa na kutafuta namna ya kuurejesha upya mfumo ulioharibika kabla haujaendelea kuathirika zaidi.Unaweza kutumia tiba lishe au dawa za mitishamba zenye uwezo wa kufanya hivyo.Kama ukihitaji msaada zaidi naweza pia kukusaidia.Kikubwa punguza tamaa ya ngono.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushauri: Acha kabisa hizo dawa. Jiamini. Epuka mashindano.

Fanya mazoezi ya kawaida na ya kegeli, Kula vizuri, usile junky foods like chips. Baada ya muda utairudia hali yako.

Next time usishindane na mwanamke, utakufa mapema!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom